Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kamchukue awe mkuu wako wa mkoa nyumbani kwako kama unampenda sanaa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
huo muda utausubiri saana ndugu yangu
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kama yote yanayomhusu ni bayana basi ni ajabu kurejea.
 
Back
Top Bottom