Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,592
Acha ujinga mi mambo ya nyeto sitaki..๐๐๐
Utatoshwa na mishangazi yote na utapiga nyeto miaka 7 mfululizo, kisha utampata Evelyn Salt atatuliza moyo wako.
Hilo pepo baya snaa
Acha ujinga mi mambo ya nyeto sitaki..๐๐๐
Utatoshwa na mishangazi yote na utapiga nyeto miaka 7 mfululizo, kisha utampata Evelyn Salt atatuliza moyo wako.
Kumbe hapigi miguu yote ๐๐๐YAKUZ bin YAVUZ ni kwa ajili ya pesa tuu mkuu sio mvuto wa mapenzi ebu kuwa makini
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐YAKUZ bin YAVUZ ni kwa ajili ya pesa tuu mkuu sio mvuto wa mapenzi ebu kuwa makini
Unapingana na mtabiri! Nitakutembeza kwa kutumia shingo bro, ohoo..Acha ujinga mi mambo ya nyeto sitaki..
Hilo pepo baya snaa
Khaaa tafuta dawa duniani hapa ya kucheza na hvo vtu viwili...Kumbe hapigi miguu yote ๐๐๐
Unajua me sikuelewa nilidhani YAKUZ ni wa mapenzi na YAVUZ ni wa hela ndiyo maana nikatoa mpaka sadaka ya kujimalizaKhaaa tafuta dawa duniani hapa ya kucheza na hvo vtu viwili...
Hakuna mkuu
Alafu acha unafiki we jamaa takutukana ๐๐๐๐๐๐๐๐Unajua me sikuelewa nilidhani YAKUZ ni wa mapenzi na YAVUZ ni wa hela ndiyo maana nikatoa mpaka sadaka ya kujimaliza
๐๐๐ Huchelewi kunitafuta tuzichape face 2 face ๐๐๐๐Alafu acha unafiki we jamaa takutukana ๐๐๐๐๐๐๐๐
Unafanya YAKUZ YAVUZ ionekane ni utapeli ujue
HAPANA mkuu kuna watu huwa nawatafuta nikiona wamezidi mipaka sasa... We kuwa na amani kabisaaaaa๐๐๐ Huchelewi kunitafuta tuzichape face 2 face ๐๐๐๐
Kwa Hali hii umenishawishi niendelee kutoa sadaka ya kujimaliza ๐๐๐amani iliyojeHAPANA mkuu kuna watu huwa nawatafuta nikiona wamezidi mipaka sasa... We kuwa na amani kabisaaaaa
๐๐๐๐ Wa nini huyo muuza chenji๐๐๐
Utatoshwa na mishangazi yote na utapiga nyeto miaka 7 mfululizo, kisha utampata Evelyn Salt atatuliza moyo wako.
Kwamba umeniitia Evelyn Salt niish naye au๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบOhoooo! ๐๐๐
Harmful
๐๐๐ nimekuita uone alivyomshushia ndoige huyo mwamba wako wa YA VUZIKwamba umeniitia Evelyn Salt niish naye au๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
Nimetoka kumuona kwenye Uzi mmoja anachana punchline za mwanafa kinoma ๐คฃ๐๐คฃ
Ulitumia kigezo gani kutabiri? Ndoto ama hisia tu?Tajiri hasalimii..
UFAFANUZI KWA KIFUPI.
Ninaposema siamini uwepo wa Mungu simaanishi Mungu hayupo, pengine yupo au hayupo ila ni mimi ndiyo siamini.
Na ndiyo maana huitwa:
Imani โza kidini.
Imani za kishirikina nk.
Juzi nilitabiri kuhusu Dabi ya kariakoo na pengine utabiri wangu umeingia katika tabiri 5 nilizo zishuhudia humu jf ambazo zilitimia kwa asilimia zisizopungua 80.
1. kuna jamaa alitabiri matokeo ya mechi zote mbili za fainali ambayo simba ilicheza na RS Berkane na mechi zote mbili alipatia.
2. kuna jamaa aliwahi kuleta uzi humu 2014 mwanzoni kama nipo sahihi. Alisema safari ya hayati JPM kumtembelea hayati Benjamin Mkapa inaakisi Urais wa JPM 2015, uzi ulikuwa na wachangiaji wachache sana kwani ilikuwa ni jambo lisilofikirika kwa wakati ule kwani ni Kama JPM hakuwa machoni/vichwani mwa wengi kwenye kushinda upezidee.
3.Mwingine huyu (sikumbuki mwaka ila ni kipindi cha J pia) alitabiri kwa mfumo wa kusimulia hadithi, katika hadithi hiyo alisema mkuu wa nchi aliopo atatuacha njiani baada ya kuumwa, Daah ikawa kweli bwana mzee akatuacha๐ค.
4. huyu namkumbuka hadi jina anaitwa Maharagwe ya ukweni, huyu alitabiri ajali ya ndege kilichonichosha zaidi alitabiri itakatika vipende viwili. Nadhani hii ilitokea mwaka ule ule aliotabiri na wajuzi wa mambo humu jf walituthibitishia kweli ndege ilikatika vipande viwili ๐ค๐ค๐ค.
Hii ilinifanya niiogope sana Jf.
Nina miezi sita tu tangu nimejiunga rasmi japo ni muda mrefu naperuzi humu.
Mkono wangu juzi ulitaka kuandika 'baada ya mechi Mzinze ndiyo mchezaji ataeimbwa zaidi' Sijuwi ni nini kilinizuia, ila nadhani hapa ndiyo mngepigana vikumbo huko pm.
Utabiri wangu juu ya mchezo ule nimeupa asilimia 88.
Sikuwahi kuandika uzi wowote ule unaohusu michezo kabla.
Siamini uwepo wa Mungu, uchawi wala nguvu za giza ila hii imenitafakarisha sana.
Ni hisia tu mkuu.Ulitumia kigezo gani kutabiri? Ndoto ama hisia tu?
Sipogi ramli mkuu hii nilidhania tu na kuamini kuwa itakuwa hivyo, sina ninachokiweza kwenye upiaji ramli.vipi kuhusu wan tam ya bimdashi hukuanikiwa kabisa kuiona kwenye ramli zako? maana yule mwanga wa magomeni mliyekuwa mnamwamini haswaaaa alitabiri kuwa mwaka huu upinzani unachukua baada ya hangaya
๐๐๐๐๐๐Dadek zakoKwa Hali hii umenishawishi niendelee kutoa sadaka ya kujimaliza ๐๐๐amani iliyoje
Tutakuja pigana..๐๐๐๐ Wa nini huyo muuza chenji