Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo.

Taifa stars anashinda 3.1DRC

Wafungaji
1 Fei toto wa yanga
2 Saimon msuva
3 Fei toto anafunga tena

CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu kwa bila:D:D:D:D

Leteni utabiri wenu

TUKUTANE QATAR 2022
😂😂😂 natamani kuandika lakini naogopa
 
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo.

Taifa stars anashinda 3.1DRC

Wafungaji
1 Fei toto wa yanga
2 Saimon msuva
3 Fei toto anafunga tena

CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu kwa bila:D:D:D:D

Leteni utabiri wenu

TUKUTANE QATAR 2022
Inapigwa 2 kwa sifuri

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ndoto niliyoota; Majira ya saa tisa usiku ndoto ilivyo anza tayari Taifa Stars 1 Congo Drc 1 . Dakika za baadae nikamuona Sammata akiifungia goli kali Taifa stars . Mpaka dakika 90 zinaisha , Taifa Stars inaibuka na Ushindi wa goli 2 na Congo Drc 1 .
Ngoja tusubiri...........but tusije kimbia uzi huu
 
Taifa Stars watakung'utwa tu kwa vile CCM na Serikali imetia mkono hapo. Hawa watu ni nuksi sana kwani miaka 60 ya Uhuru wako madarakani lakini Tanzania ni.mojwapo ya nchi masikini sana duniani.
lkn pia Tanzania ndo inaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijin
 
Back
Top Bottom