Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyoka inafanya kazi!
- Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
- Prof Haroub Othman

Utabiri wake unakuaga too general. Atoage specifics zote .
Nami natabiri tutawapoteza wana JF 15 kati ya mwezi july na october.
Yule shekh Yahya ni msomi mzuri sana wa dini ya kiislamu, na kazi ya UTABILI anayofanya imekatazwa sana na DINI yake, maana anafanya kazi ambayo elimu yake iko kwa mungu tu, elimu ya siri, MUNGU PEKEE NDIYE AJUAE YANAYOKUJA..ile zambi inaitwa shirki,na hakuna ZAMBI kubwa kama kumshirikisha mwenyezi mungu...lakini yeye nae anaJUSTIFICATIONS zake za kuhalalisha analolifanya...Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyoka inafanya kazi!
- Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
- Prof Haroub Othman
Hivi mmesahau kwa huyu ni yule shehe aliyewahi kutabiri kwamba kwenye uchaguzi wa 2005 Tanzania ingepata rais wa kike????????????????????????. Yeye yupo kazini jamani
yule shekh yahya ni msomi mzuri sana wa dini ya kiislamu, na kazi ya utabili anayofanya imekatazwa sana na dini yake, maana anafanya kazi ambayo elimu yake iko kwa mungu tu, elimu ya siri, mungu pekee ndiye ajuae yanayokuja..ile zambi inaitwa shirki,na hakuna zambi kubwa kama kumshirikisha mwenyezi mungu...lakini yeye nae anajustifications zake za kuhalalisha analolifanya...
Angekuwa hakusema nchini, basi angesema utabili wake ni mj(michael jackson)..
Utabiri wa nyota ni very physicoloical phenomenon, ukishaamini unaweza kujikuta unamuabudu mtabiri...
tena tunafanya makosa sana kumshabihisha na uislam, mungu atusamehe