Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 19/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Alhamisi hii sio mbaya Sana katika mizunguuko yako ya utafutaji wa rizki unashauriwa upange mipango yako kwa kujiamini zingatia ahadi ulizo pewa huenda ukizifuatilia utafanikiwa ingawa si kwa kiasi kikubwa.
•Mahusiano mapya yoyote Leo yatakuangamiza Kuwa makini na uwe na tahadhari.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Alhamisi hii ni nzuri kwako unashauriwa usiwe mtu mwenye kukata tamaa nakuogopa kutumia fedha yako kwenye Mambo yenye vaida kwako jitahidi kuwaamini watu acha kuzingatia porojo za watu wasio ona umuhimu wako Nia yako nikusha uchumi wako.
•Maradhi madogo madogo yatakusumbua au kuwasumbua watoto wako na hali hii ni ya mpito tu.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Unashauriwa kupungunza kelele kwa mwenza wako kwasababu kelele zako na vurugu zako itakusababishia uwe mtu usie aminika na huenda mapenzi yakaendelea kukutesa na kukukosesha amani na furaha.
•Mipango yako itaenda vizuri baada ya wewe kuwajali wazee wako au kuwatembelea.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Alhamisi hii ni nzuri ukiwa unafanya Mambo yako na kupanga mipango yako unashauriwa uwe makini na mtu mwenye kujiamini sehemu ya mipango yako huenda ukafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
•Safari zako ni salama licha ya kuwa nzito nzito.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Alhamisi hii ni nzuri Sana kwako fanya kazi kwa bidii thamani yako itaongezeka ingawa umekuwa mtu mwenye kukata tamaa unashauriwa uwe mtu mwenye kujiamini wakati wowote kufanya hivyo uchumi wako utakuwa juu na utakuwa mtu mwenye furaha.
•Utapata habari njema sana leo na mahusiano yako yatafunguka zaidi na utapata marafiki wapya zaidi na haja zako zitatimia kwa wepesi mkubwa zaidi.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Alhamisi hii sio mbaya kwako fanya kazi kwa bidii jaribu kushaurina na mtu wako wa karibu kwasababu umekuwa kwenye wakati mgumu kwasasa isafishe nafsi yako kwa mtu uliemkosea angalia nyuma kwanza kabla ya kwenda mbele uwadui wa kulipiza kisasi ni sawa kwako lakini nivyema ukageuka na kusikiliza washauri wako kabla ya kufanya jambo lolote la kulipiza kisasi kwa wabaya wako.
•Utapishana kauli na mtu wako wa karibu na usilazimishe jambo lolote leo utapata fedheha.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Alhamisi hii unashauriwa uwe makini na watu ulio ahidiana nao Kama umeahidi kulipa Deni basi nivyema ukalilipa ama kutafuta njia ya kutokutana na mdeni wako maana anaweza kukusababishia hasara kwenye biashara zako.
•Safari zako zina kheri na usipuuzie mambo kila kitu kitaenda vizuri.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Alhamisi hii ni alhamisi nzuri sana kwako sehemu ya mipango yako itakamilika kwa kiasi fulani ingawa utakuwa na changamoto za hapa na pale vile vile unashauriwa usiwe mtu mwenye kukurupuka wakati unapanga Mambo yako unaweza ukakwama.
•Mahusiano yako yapo vizuri na utazidi kufanikiwa dhidi yake pia safari zako ni nzuri.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Alhamisi hii itakuwa nzuri kwenye biashara zako jitahidi kuongea na wateja wako vizuri na ikiwa umeajiriwa unashauriwa kuwa karibu na muajiri wako kufanya hivyo itakuwa ni vyema kwako kwa maana utapata uwaminifu wa Hali ya juu kutoka kwa wajiri wako ingawa unaweza kupata Changa Moto kidogo lakini haitakuwa tatizo kwako.
•Mahusiano yako yatakuwa na kutokuelewana ila yote yanapita.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Utapata habari njema sana leo na mipango yako mingi itaenda vizuri sana siku ya leo.
•Mapenzi kwako ni muhimu punguza dharau na kujiamini kwa mwenza wako legeza misimamo ulio nayo maana ukiendelea na misimamo yako hii inaweza kukuweka mbali na mwenza wako.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Kazi zako zitaenda vizuri na biashara zako zitatanuka zaidi.
•Mapenzi kwako ni kitu Cha muhimu ingawa yanakutesa na kukupa furaha zingatia misimamo yako na usikubali kuonyesha udhaifu kwasababu huu sio wakati wa kuonyesha udhaifu wako kwenye mapenzi.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Makelele katika mahusiano yako yanasababishwa na ubishi wako inawezekana unabishana au kulikataa jambo kwa faida zako lakini hii inaonekana itakupelekea wewe uwonekani sio muaminifu kwa mwenza wako jaribu kuelekeza masharti ya kuishi na mwenza wako ili upate kufanikiwa kwenye mahusiano yako.
•Kazi zako leo zitakusababishia fedheha au maudhi na ukiona nafsi nzito basi ujue kuna shida leo ikiwa umeajiriwa basi heshimu wakubwa zako na sheria za mazingira hayo ili kuepuka maudhi hayo.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.