Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. .
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Mudawote USSR iboya 2021 Magonjwa Mtambuka comte mama D Mama Amon jingalao YEHODAYA Ritz Countrywide zindouna Elitwege@wakudadavuwa
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. .
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Kwa nini ulimuua Ben Saanane?
 
Nimekuelewa sana, ila natamani CHADEMA wangekuelewa kama nilivyokuelewa mimi maana tanzania tuna chama kimoja tuu kilicho imara kwa sasa, na wao pia hawajalala. Wakati ni mali

Ni hayo tuu!
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. .
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Pray for the nation, ikikubaliwa mbiguni majibu yakawa waondeshe ccm, je mtakubali kuachia nchi bila machafuko?
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. .
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Tatizo lako huwa unajitabiriwa kufa hata wewe mwenyewe. Hata hivyo huo sio utabiri ni tathimini ya kile kinachoendelea kuhusu hiyo kesi.
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama. .
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Hiyo hali iko kwenye mitandao ya Twitter na JamiiForums tu na FB kiasi. Kwenye maisha ya kawaida Mbowe siyo issue kabisa. Hana togauti na mahabusu yeyote.

Kwanza nchi iko na utulivu sana kwa kipindi hiki. Tafuteni hela na vizazi vyenu acheni kupoteza muda kuhangaika ma Mbowe.
 
Ccm Ingekuwa bize na maendeleo kusingekuwepo machinga wao wapo bize na visivyo na tija
 
Mtu ambaye hawezi kuandika kwa ufasaha katika karne ya 21 ni wa kupuuzwa kama wahuni wa Buza tu.
Usirogwe ukampuuza huyu jamaa.
Wazoefu wa JF tunamjua vizuri!
Hujifanyaga nabii,akiandika kama bata au darasa la nne,hizo mbwembwe tu na kuwapoteza watu wasiofuatilia mambo.
Huyu ni mtu mzito na nadhani anatumika kusafisha njia kabla ya jambo fulani.
Usimdharau hata kidogo.
We mfuatilie huku ukivumilia mwandiko wake,utakuja kunielewa.
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.

Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..
Hakuna mtanzania Bara atakae mpigia kura Mwanamke wa Urojo achukue nchi!!!Kama CHADEMA WATAMSIMAMISHA TUNDU LISU KWA MARA NYINGINE NI UKWELI USIOPINGIKA NCHI ITAENDA UPINZANI!!!JE WAZEE WA CHAMA WATAKUBALI????!!!TUSUBIRI TUONE!!!!
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.

Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..

Update..
Napenda kuwakumbusha utabiri huu niliotoa mwakajana 5 sep leo 04.03.2022 umetimia. What is next.... Only God know.
Ndio ndio mkuu Nimeona Mwamba wa kaskazini akitamalaki huko Hai kilimanjaro na pia Mama akitamalaki na jezi za yanga hapo Benjamin mkapa stadium!!!
 
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.

Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..

Update..
Napenda kuwakumbusha utabiri huu niliotoa mwakajana 5 sep leo 04.03.2022 umetimia. What is next.... Only God know.
Sijui hata umeandika takataka gani
 
Back
Top Bottom