Utabiri wa hali ya umeme kwa siku ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa hali ya umeme kwa siku ya leo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Sniper, Jul 18, 2011.

 1. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pepo za umeme zitavuma taratibu kutoka upande wa kusini mwa Dar es Salaam kuelekea upande wa Kaskazini. Hivyo kutakuwa na umeme mchache maeneo yote ya Jiji na ngurumo nyingi za Jenereta pande za Kariakoo, Mwenge, Posta na maeneo yote ya katikati ya jiji la Dar es Salaam.
  Na kwa wakati wa usiku watu wa Mbagala, Kigamboni, Kimara, Mtoni na maeneo yote ya jirani wilaya ya Temeke na Kinondoni kutakuwa na Kiza kisichojulikana mwisho wake.
  Maeneo ya Sinza, Mbezi na Tegeta kutakuwa na miunguromo ya jenereta hapa na pale nyakati za usiku. Hii ni kutokana na familia chache zinazotumia jenereta nyakati za usiku
  Utabiri huu umeletwa kwenu na Mamlaka ya Utabiri wa Nguvu za umeme waTanesco, Ubungo ghorofa ya Pili.
  Nawatakia siku njema. Ahsanteni.
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  hahahahahah bro we mkali
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,259
  Trophy Points: 280
  Seriously, mlivyotuonea weekend imetosha bwana!
  mi sijafua nguo wiki mbili sasa!!!
  Please...rudisheni leo walau nifue usiku bwana...
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Much appreciated Mkuu!!
   
 5. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wow....so creative dude. Love it.
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh! Uwii mbavu zng mie.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  haahah.. Mbina una upendeleo??? Vipi ss watu wa mikoani??
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,259
  Trophy Points: 280
  Nyie ndo mlianza kuuzwa..
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu. ila huu si utabiri huu ni ukweli maana utabiri ni mambo ya uncertainity lakini we unayoyasema ni ukweli kabisa
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Duh we mkare
   
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Na sehemu za ZANZIBAR KUTAKUWA na UMEME kwa muda wote. Haaah haa haah.
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha

  Upepo wa umeme utavuma vyema kwenye visiwa vya karafuu, na Hali tilivu ya umeme itapatikana katika visiwa vya Unguja na Pemba kwa muda wote.
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,834
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  sitamani hata kuona kwa matatizo yaliyopo
   
 14. j

  jitu1 Senior Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thats hilarious...great job man...very creative thoughts.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!! Huu ni ukweli kabisa...
   
 16. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Tetesi,Zanzibar hamna mgao kabisa. Kweli si kweli?
   
 17. murid

  murid Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wananchi tupo jizani lini tutatoka?
   

  Attached Files:

 18. dizbap

  dizbap Senior Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh! Umetisha sana na UTABIRI. Genius.
   
 19. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Na maeneo ambayo kutakuwa na umeme kutaendelea kuwa na kiwingu cha uwezekano wa giza kudondoka wakati wowote, hivyo ukitoka nje beba tochi.
   
 20. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hata ukirudishwa unaweza usifike kwa wakati unaokusudiwa, hivi unatarajia umeme upite foleni ya buguruni, tazara, taifa halafu ukutane na foleni ile ya zakiem mda wa kukatwa si utakuwa umewadia tena? hameni uko mbagala nyie, na safari hii mabomu yanarudi tena huko.
   
Loading...