Uko wapi uje unywe desp 6 pack hapa...Chelsea 3 - Man City 2
Or 2 -1 ikiwa ni magoli matatu
KDB goalGame itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to Score.
1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz
Hapo vipi?
Chelsea 3 - Man City 2
Or 2 -1 ikiwa ni magoli matatu
Chelsea 2-1 man shit
Werner assist mason
Mason assist pulisic
Kevin de bruyne
💃🏽Uko wapi uje unywe desp 6 pack hapa...
Utabiri wako umepitaaaa
Wacha tuone sioni washambuliaji wa kutupia 3 ndani ya kikosi cha Chelsea
KDB goal
Mahrez goal
Man city 2- 0 Chelsea
City de champion
Chelsea 1-4 Manchester city
Players to score...
Both teams to score? No.
Full time Draw
Extra time? Yes.
Ngoja nione kama bado mlango wangu wa saba unafanya kazi sawasawa.
Angalizo huu ni utabiri tu na sio unabii.
Hakuna shaka kwasababu ni utabiri na sio unabii. Na hta unabii sio lazima utimie. Rejea kisa cha yona na mji wa ninawi.Tumerekodi tunakusubiri
Toka mmefiwa mmepagawaChelsea 3 - Man City 2
Or 2 -1 ikiwa ni magoli matatu