NILIDHANI UNA HOJA KUMBE NI REVELATIONS, VODOO, SUPERSTITION ......Ulimwengu wa roho
na kweli umelewaMbona mimi nimeona mwezi wa 3?
Wewe si ulituambia kuwa Nikilewa mniache ??Mbona mimi nimeona mwezi wa 3?
You give reason to support your thinkingKama hutaki basi
Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa
Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele
Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
Naona ulimwengu wa roho ukionyesha jambo la kushtua ambalo sitalitaja lakini Kwa nukta hiyo tujiandae na uchaguzi mwaka 2026
Jambo la kustua Anaweza kufariki kiongozi au?Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa