UTABIRI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu, itavunjwa kabla ya 2030

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,756
9,509
Hili ni bandiko la utabiri,

Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.

Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima uyanywe, bila NIDA lazima kuna mahari utakwama.

Itakuwa ngumu kwa mtu kupanga foleni ofisi ya kata au kijiji ili apate KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA wakati huo akikaa hapo zaidi ya masaa mawili.

Hii tume itavunjwa na kuundwa upya na kitambulisho cha kupiga kura kitakachotumika mwaka 2030 itakuwa ni kitambulisho cha NIDA.

Tuombe uzima yajayo yanafurahisha.
 
Shirikisha akili yako, kazi ya tume ni kusimamia uchaguzi.
Nadhani mjadala ufunguliwe rasmi, tujue kazi zote za tume!
- Vile vipande vya uchaguzi vinatolewa na mamlaka ipi?

Kuna wazo zuri pia, kwamba kwanini nguvu kubwa isielekezwe kwenye NIDA, ID iwe full package, iwe na taarifa zote muhimu, ikibidi iwe electronic:
  • Umri
  • Jinsi
  • Eneo ilipotolewa
  • Picha
  • Grupu la damu
  • TIN
  • Fingerprint
  • Height
  • Lineage
  • Kabila
  • Imani
Etc

Wakikusanya taarifa zote hizo, wakachagua za ku-display kwenye kipande, nyingine zikabaki nyuma ya pazia, tunaweza kuwa na database kamili kwa miaka mingi ijayo ikatumika!

Kuwa na:
  • NIDA
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
  • Passport
  • Kitambulisho cha Ajira
  • Kitambulisho cha Itikadi
  • Kadi za ATM
  • Kadi ya Bima ya Afya
  • Kitambulisho cha uanafunzi
  • n.k
Ni mzigo wa kijinga ukizingatia teknolojia ilipo!
 
Hayo yote ukiyaweka pamoja kazi ya tume inabaki palepale, uchaguzi hauwezi kusimamiwa na NIDA.
 
Hili ni bandiko la utabiri,

Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.

Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima uyanywe, bila NIDA lazima kuna mahari utakwama.

Itakuwa ngumu kwa mtu kupanga foleni ofisi ya kata au kijiji ili apate KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA wakati huo akikaa hapo zaidi ya masaa mawili.

Hii tume itavunjwa na kuundwa upya na kitambulisho cha kupiga kura kitakachotumika mwaka 2030 itakuwa ni kitambulisho cha NIDA.

Tuombe uzima yajayo yanafurahisha.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu unamaanisha CCM itakufa kipindi hicho hicho cha utabiri wako​

Uchaguzi ni kitu kingine! Shida iko kwa Chama pendwa ambacho kilishapoteza imani kwa wapiga kura ! Hakiamini sanduku la kura.
Kwa hiyo ukianza kuhusisha NIDA na Uchaguzi hakuna anayekuelewa!
 
Back
Top Bottom