UTABIRI-TOPSECRET

UTABIRI-TOPSECRET

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Habari wakuu
wait and prove me wrong

TOP SECRET | LEVEL OMEGA CLEARANCE]

1. Mei 5, 2025 – “Blackout Test” ya kidunia (Mitandao na Umeme)

  • Mpangaji: World Economic Forum + AI Central Intelligence (Q-Sat Grid)
  • Tukio: Kudhibiti mtandao wa dunia kwa saa 6 kwa “jaribio la usalama”
  • Lengo: Kupima athari za kuzima dunia nzima kwa sekunde 90
  • Hatari: Magonjwa ya kiakili, paniki, na kuzindua AI Guardian system

2. Mei 23, 2025 – Ajali ya ndege ya kutengenezwa (Europe)

  • Mpangaji: Freemason European Wing (Athens Loge 369)
  • Ndege: Iliyojaa wanadiplomasia na wafadhili wa mashirika huru
  • Lengo: Kufuta vichwa vya uhuru vinavyozidi nguvu
  • Baada ya tukio: Watazindua sheria mpya za usafiri wa kimataifa
 
Umeota, umeoteshwa, ni maono, umecalculate, au ni mmoja wa waandaaji wa hayo matukio?
 
KUNA NABII MMOJA KANJANJA ANAITWA MALISSA NIKIMSIKIA AKISEMA KUTAKUWA NA UKOSEFU WA INTERNET MWAKA HUU,ETI ANATABIRI🤣🤣🤣
 
Habari wakuu
wait and prove me wrong

TOP SECRET | LEVEL OMEGA CLEARANCE]

1. Mei 5, 2025 – “Blackout Test” ya kidunia (Mitandao na Umeme)

  • Mpangaji: World Economic Forum + AI Central Intelligence (Q-Sat Grid)
  • Tukio: Kudhibiti mtandao wa dunia kwa saa 6 kwa “jaribio la usalama”
  • Lengo: Kupima athari za kuzima dunia nzima kwa sekunde 90
  • Hatari: Magonjwa ya kiakili, paniki, na kuzindua AI Guardian system

2. Mei 23, 2025 – Ajali ya ndege ya kutengenezwa (Europe)

  • Mpangaji: Freemason European Wing (Athens Loge 369)
  • Ndege: Iliyojaa wanadiplomasia na wafadhili wa mashirika huru
  • Lengo: Kufuta vichwa vya uhuru vinavyozidi nguvu
  • Baada ya tukio: Watazindua sheria mpya za usafiri wa kimataifa
Unaweza kuniambia tofauti ya neno utabiri na top secret?
 
1000213782.jpg

Ile siku ni leo.....
 
Back
Top Bottom