Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,809
- 28,479
Mambo ya kupokezana ilikuwa ni lengo LA nyerere kuleta usawa kati ya nchi 2.ilikuwa baada ya Mkapa Dr.Omary Juma alitakiwa awe rais wa Tanzania bahati mbaya boyz2 men wakiongozwa na Baba riz walilipa kisasi kwa kile alichotendewa na nyerere mwaka 1995.hivyo kufanys utaratibu mzima kuvurugika-Its politics.Kwa dhana hiyo ya kupokezana vijiti vya Urais wa JMT, basi baada ya Dr Magufuli uwezekano wa kupewa Mama Suluhu ni mkubwa wakati huo Dr Mwinyi akiendelea kuwa Rais na M/Kiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar. Ikitokea hivyo, Makamu wa Rais wa JMT huenda akawa Mh Majaliwa na hao wawili wakampendekeza Jaffo kuwa Waziri Mkuu.
Nami ni ndoto tu. Nawatakieni mwanzo wa W/end njema, baada ya shamra shamra za Eid Mubarak, na "byebye" Mh COVID-19