Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Membe S K

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
1,407
Reaction score
1,302
Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
 
Yupo pale kulinda maslai ya wenye nacho!!!!
 
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
 
wanatumika mkuu wanafikili utawala uliopita
 
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!

subiri uone ,bunge hili ma ccm yatakoma
 
Ufisadi siyo ajenda tens ktk taifa hili. Mwenye usafi wa kulisimamia kwa dhati na akaeleweka kwa umma hayupo. Chadema wenye ajenda walishajichafua na kujichanganya. Namshauri Kamanda Kubenea atafute masuala mengine ya kuongelea bunge lijalo.
Uchaguzi wa Mwaka huu umebadilisha siasa za nchi hii. Wabunge ambao hawajabadilika wataishia kuzomewa ama kuwa mabubu.
Muacheni Prof. Muhongo achape kazi.
 
Muhongo na uprofesa wake na majivuno mengi anakuja kugombana na ubungee, kweli uprofesa wa bongo unabidi uundiwe tume
 
CHADEMA nilikuwa nawapenda sana kabla ya uchaguzi lkn naona mnazidi kuwa wajinga kadri siku zinavyokwenda.Hivi ni kweli CHADEMA mnapigania maslahi ya Watz au mnamtumikia mtu?So far Muhongo ameweka mikakati yake hadharani ya kuhakikisha Watz wanapata umeme wa uhakika na wa gharama nafuu,hiyo ilitosha kupata uungwaji mkono kutoka kwa Watz wote CHADEMA mkiwemo lkn wapi,mmekazana na ESCROW mkijifanya mna uchungu na nchi hii wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanasemekana kushiriki ktk mgao wa ESCROW na fedha zao walichukulia Stanbic ndio maana walikataa kufichua majina ya waliochukua fedha kupitia benki hiyo. Kinachonichanganya zaidi ni uharaka wao wa kumsamehe Lowassa mtu mwenye kashfa lukuki za ufisadi huku wakiwa wazito kumsamehe Muhongo ambaye hana kashfa yoyote ya ufisadi.Hata ripoti ya akina Zitto ilishindwa kuthibitisha jinsi Muhongo alivyoshiriki ktk ufisadi wa ESCROW.
 
Mtasubiri sana tu.safari hakuna tena zile milioni tatu tatu za kummaliza muhongo bungeni
 
Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.

Mnamuacha lowassa mpaka urais mlitaka kumpa.upinzni huu ni bomu kuliko wote waliowahi kuwa wapinzani
 
Mlizoea kumsumbua ana makinda,safari hii mtspigwa nje ya bunge wote,serikali ya magufuli ni kazi tu,majungu no
 
lowassa na mhongo nani mchafu zaidi??

ccm siipend lakini mhongo ni mmojawapo ya watu wa kuifikisha tanzania angalau mbele mbele kuliko wengine wote walioteuliwa
 
Muacheni muhongo achape kazi ..kajipangeni upya na lingine
 
Jamani hebuicheni serikali ifanye vitu vyake mbona I meanza vizuri. Keller nyingi kwenye mitandao tulieni tuisapoti serekali yetu wapo vizuri saaana
 
Job Ndugai anahasira sana na Walioshiriki kwenye Escrow maana alivyokuwa anasimamia bunge ili wa liochukua fedha kwa sandarusi wajulikane. Bi kiroboto akamtuma aende ughaibuni kurudi sakata la escrow limeisha. Safari hii atalisimamia na bila shaka yeyote wote waliochukua fedha watajulikana na kuadabishwa.
 
Back
Top Bottom