Utabiri: Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigela muda si mrefu atatumbuliwa

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Kutokana na matukio ya kukosekana kwa usalama mkoani Tanga kama vile magaidi wa mapango ya Amboni,kuchomwa moto mabweni ya chuo kikuu cha Sebastian Kulola na utekwaji wa magari kwenye Barabara ya Segera Tanga ni baadhi ya matukio ambayo muda si mrefu yatamsababishia Martin Shigela kutumbuliwa na rais John Magufuli maana yeye kama mkuu wa mkoa na mkuu wa ulinzi na usalama ameshindwa kuyamaliza matukio hayo ya uvunjifu wa usalama mkoani mwake.
 
Hana mipango madhubuti mkoa umemzidi uwezo na vile tanga ina njia za panya nyingi za wahalifu
 
Kutokana na matukio ya kukosekana kwa usalama mkoani Tanga kama vile magaidi wa mapango ya Amboni,kuchomwa moto mabweni ya chuo kikuu cha Sebastian Kulola na utekwaji wa magari kwenye Barabara ya Segera Tanga ni baadhi ya matukio ambayo muda si mrefu yatamsababishia Martin Shigela kutumbuliwa na rais John Magufuli maana yeye kama mkuu wa mkoa na mkuu wa ulinzi na usalama ameshindwa kuyamaliza matukio hayo ya uvunjifu wa usalama mkoani mwake.

!
!
Acha wafu wawazike wafu wenzao. Ukijiuliza ni jinsi gani mfu anaweza kumzika mfu mwenzie ndio shughuli.
 
Back
Top Bottom