Utabiri baada ya uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri baada ya uchaguzi mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 13, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama ilivyokua mwezi wa kwanza 2005, natabiri haya yafuatayo kama SISIMU itashinda mwaka huu.

  1. Vitu vingi vitapanda bei kwa kasi sana kama ilivyokua 2005 baada tu ya Kikwete kushinda, inajumuisha vyakula, vifaa vya ujenzi, makazi, kodi za nyumba, umeme, mafuta, n.k

  2. Natabiri maisha magumu zaidi kuliko kipindi cha 2005 hadi 2010. Hii ni kutokana na kua kama JK alijua fika atakuja kugombea tena na hakufanya vizuri, basi kipindi hiki ambacho anajua hatagombea tena basi atashuka kiutendaji zaidi. Chukua hiyo, huitaji kuambiwa ona

  3. kama SISIMU itashinda, Natabiri safari nyingi zaidi za nje za Rais kuliko kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010

  4. Natabiri kutotekelezwa kwa ahadi nyingi zilizoahidiwa kama SISIMU itashinda kama vile Chuo kikuu kule Shinyanga, Chuo Kikuu Songea, Hospital za Rufaa Zanzibar, bajaji nyingi, Umeme huko geita, Uwanja wa ndege wa Kimataifa Bukoba, Kugeuza Kigoma kua Dubai, Mamilioni ya hela Tareakea Rombo, n.k

  5. Natabiri budget kubwa zaidi ya Serikali ili hali maisha ya wananchi yakididimia

  6. Natabiri migomo mingi ya wafanyakazi itakayotokana na kutoongezwa mishahara kwa muda mrefu.

  7. Natabiri baraza kubwa la mawaziri na sura nyingi zile zile zilizoshindwa kazi miaka 5 iliyopita

  8. Natabiri Ridhiwani kuwa na nguvu sana kuwazidi viongozi wastaafu na wengine.

  9. Baisha bora kwa kila mtazani kugeuka kua Maisha mabaya kwa kila mtanzania

  10. Ajira kushuka kwa kasi.

  11. Natabiri watu kulipiza visasi vya kampeni

  Tuombe Uzima na Mungu atujalie, tupo baadae tusilalamikiane. Kazi kwako uipenda Meza au Uache. Tatizo sio kupiga kura, swala ni kupiga kura kwa usahihi. Kazi kwako
   
 2. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0


  Shehe Yahya,, watu walikuvumishia umekufa,, kumbe uko hai!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  una akili zote ww!! Jamaa utabiri wake ni wa ukweli
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  swala sio kupiga kura swala ni kupiga kura kwa usahihi
   
 5. m

  mbea Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Harambee ee haramba mama harambee
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mkuu huu sio utabiri bali ni ukweli wa mambo, hili halimhitaji Sheihk Yahaya aje asema hapa...hawa ndo CCM
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa (JK) akichomoa hii so atatuumiza vibaya mno. Aliyetabiri ana hoja kwa kweli hasa hiyo ya kulipa visasi na kukirimu wapambe
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  .........atalipa kisasi hasa kwa JF, tujiandae kufungiwa au kuwekewa mizengwe.
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa tutegemee yafuatayo:
  - EPA kwa kasi zaidi
  - Meremeta/ Deepgreen/ Tangold kwa kasi zaidi
  - kulipa Visasi kwa kasi zaidi
  - Safari za nje Kila wiki
  - Na mengineyo meeengi kwa kasi zaidi.
   
Loading...