6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,653
- 8,000
Niaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na waziri mkuu ataapishwa na kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Wale mnaofikiri kuwa nafasi hiyo itaenda kwa Mchengerwa (mkwe), Makonda (mtoto wa kambo), au Biteko msahau kabisa mawazo hayo.