UTABIRI: Baada ya siku ya valentine

UTABIRI: Baada ya siku ya valentine

Kutakuwa na :
1. Kufulia kwa wanaume waliojitutumua kuwanunulia mademu zao vitu vya dhamani kuzidi uwezo walio nao
2. Kutendwa kwa pande zote mbili hasa hasa wanawake baada ya kutumiwa.
3. Kudumu kwa mapenzi kwa wale walio wenye msimamo na mahusiano


Hebu toa utabiri wako baada ya valentine.

Huyo Valentine ndio nani, kakakuona ndio anaitwa hivyo siku hizi ama?

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom