Thubutuu kwa huyu jiwe sema wavaa combat and it's related watuulaWalimu watalipwa malimbikizo yao
Mhhhh!!! hapo sina uhakika maana JIWE katukazia kweli hapo,,,Mshana Jr ongezea na watumishi wa umma wataboreshewa maslahi yao
we jamaa sasa ngono 2020 unamaanisha zitakuwemo kwenye kampeni? au JIWE atagawa na hizo?Pombe na ngono
Ni kweliVyuma kushika kutu