Utabiri 2020


Hii yote ni ushawishi kura yako inahitajika na baada ya hapo mziki ni ule ule kuisoma namba kwa kwenda mbele maana ukishapiga kura hudhaminiki tena .
 
Sifa Ya kwanza ya binadamu asiye na malengo ni kuridhishwa kwa thamani kidogo ya mahitaji muhimu (pesa au mlo au mavazi au malazi)... kwa muda mfupi kulingana na muda aliomenyeka.
 
Ni muda muafaka kuanza kuchukua kadi ya kijani,
 
Huyu Ni dictator... Hana Baja ya kufanya hayo.
Amesema atahakikisha upinzani unakufa
 
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Maneno ya Mganga ayo ebu tuombe uzima tuone kama yatatimia.
 
Na watumishi wa serikali wataongezewa mshahara kwa angalau 20%
 
Hii inanikumbusha kipindi tunapeleka watoto kambi za skaut. Unawalisha ugali harage wiki nzima. Ikifika siku ya mwisho unawapikia kuku mzima kila mmoja. Basi safari nzima itasimuliwa siku mliyokula kuku mzima na kusahau siku zote za kula ugali harage..
 
😳 😳 😳 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…