Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
SinaJibu unalo mwenyewe!!
Ndiokumbe walishauliwa kuajili walimu kutoka UK na Kenya wakagoma
si unaona magarasha garasha ya DPSina
Upo Karibu na ukwelisi unaona magarasha garasha ya DP
Waliosaini ule mkataba ni wajinga na walimu wao ndio hao hao wa UPE
Miujiza imeanza kitambo sana Bongokumbe walishauliwa kuajili walimu kutoka UK na Kenya wakagoma
Samahani mleta mada, naomba unipe uhusiano wa wewe kufaulu na uhusiano wa kumfaulisha mwingine kwa kiwango kilekile. Namaanisha hivi:Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni razima kwa kila mtanzania.
Katika Bunge la wakati ule viligubikwa na wasomi wachache sana.
Wapinzani wa sera kipindi kile walionekana mwiba sana kwa Serikali.
Wasomi wengi walishauri kuajiri waalimu kutoka nchi ya Kenya na nchi kama uingereza na mataifa mengine Walikuwa tayari kutoa waalimu. Ili kufanikisha mpango huu.
Hatimaye Bunge likaja na mpango wa UPE (Universal Primary Education) yaani wahitimu failure wa elimu ya msingi kwenda kuwafundisha wenzao.
Wasomi chuo kikuu cha Dar es salaam aligomea huu mpango kabisa. Sababu ilikuwa Tanzania inatengeneza Taifa la watu wajinga sana.
Sasa hivi wale walionza kufundishwa na walimu wa UPE wanamiaka 50 mpaka 55. Je Taifa letu ni la watu wenye akili ama wajinga kama ilivyotabiriwa?
Hivi mwalimu ambae hajui logarithm anaweza kumfundisha mwanafunzi ajue vizuri kabisa.Samahani mleta mada, naomba unipe uhusiano wa wewe kufaulu na uhusiano wa kumfaulisha mwingine kwa kiwango kilekile. Namaanisha hivi:
Wewe umepata daraja la kwanza, kwa maana hiyo ukiwa mwalimu utakuja kuwafaulisha wanafunzi wako kwa kiwango kama chako!!!!!!!!!!
Namaanisha hivi tena:
Walimu wanaoajiriwa wawe wamepata ufaulu mzuri wa daraja la kwanza (mtazamo wenu) hivyo wanafunzi wao wote (shule za kata) watafaulu kama wao.
UDSM, SUA, MZUMBE na UDOM kwa Tanzania hivi ni vyuo vikubwa, kuna shahada mbalimbali za elimu zinatolewa huko. Katika vigezo vyao vya udahili unadhani walimu kutoka hivi vyuo wanaufaulu mdogo??? (mtazamo wenu)
Jibu kwa kutumia picha pana na siyo mhemko, papara na hasira!!!!!!!!!!!!!!
Nb: Walimu ni sehemu ndogo sana ya tatizo, nashangaa wanavyotupiwa mzigo wa lawama pamoja na kujitahidi kwao katika mazingira magumu ya kazi!!!!!!!!!!!
Eti wamefeli!!!!!!!!!!!Halafu ukipata watoto unampelekea akufundishie!!!!!!!!!!!!!!!!!Iwe shule binafsi au ya umma bado utawakuta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ahsanteni sana walimu kwa mchango wenu!!!!!!!!!!!!
Tafiti ni rahisi sana. Tatizo wanafunzi hawafundishi kufikiri mwalimu wao wa UPE anawakalilisha imetoka hiyo. Ndio maana wanafunzi wanashindwa kukariri wanafeliHadi grade 7 dropout anapewa PhD unategemea atamheshimu aliyeitafuta darasani na kwenye tafiti?
Hivi tatizo la wajinga wengi tanzania waliosoma na walioko maofisini ni tatizo la waalimu waliowafundisha au tatizo la mfumo wa elimu tuliourithi kutoka kwa wakoloni?Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni razima kwa kila mtanzania.
Katika Bunge la wakati ule viligubikwa na wasomi wachache sana.
Wapinzani wa sera kipindi kile walionekana mwiba sana kwa Serikali.
Wasomi wengi walishauri kuajiri waalimu kutoka nchi ya Kenya na nchi kama uingereza na mataifa mengine Walikuwa tayari kutoa waalimu. Ili kufanikisha mpango huu.
Hatimaye Bunge likaja na mpango wa UPE (Universal Primary Education) yaani wahitimu failure wa elimu ya msingi kwenda kuwafundisha wenzao.
Wasomi chuo kikuu cha Dar es salaam waligomea huu mpango kabisa. Sababu ilikuwa Tanzania inatengeneza Taifa la watu wajinga sana.
Sasa hivi wale walioanza kufundishwa na walimu wa UPE wanamiaka 50 mpaka 55. Je Taifa letu ni la watu wenye akili ama wajinga kama ilivyotabiriwa?