Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
Kumbe kazi ngumu aisee. Katika mifugo mingine tunasema kuzalisha kumbe kwenye nyuki ni kudhalisha? Inabidi kujifunza lugha kwanza aisee.
Dah! mkuu, hii inaweza kuwa jibu labda inahitaji utafiti Zaidi. Hawa nao hutembea kama kundi au mmoja mmoja, na wanakuwa wanatokea wapi? na ni kwa vipi unaweza kuwatambua na kuwadhibiti?
Hii ndio inaweza kuwa sababu, labda atuambia kama kuna midawa sana kwenye mazingiraNyuki huwa wana athiriwa sana na dawa za kuuwa wadudu zinazopuliziwa kwenye mimea mbali mbali ya mazao ya biashara.
Kumbuka nyuki anapokuwa anatafuta material ya kutengeneza asali huwa anapapasa karibu kila mmea. Kwa bahati mbaya hii mimea ya kisasa huwa inapuliziwa dawa za kuuwa wadudu waharibifu ambazo hizi dawa huwa ni sumu hat kwa mwanadamu.
Nyuki wanapopita especially maeneo yenye hiyo mimea na kuigusa, huwa wanarejea na ile sumu katika mikono yao na wanaingia nayo kwenye mzinga bila kujua madhara yake. Na inapotokea wakawa wengi na wakaisambaza, ikamfikia hadi malkia ndipo hapo huwa ni mwisho wa hilo koroni.
Hii tafiti niliifanya miaka mitatu iliyopita kwa kutazama video za kimazingira huko YouTube. Na nilishaizungumza kipindi fulani kuwa haya madawa na mbegu za kibiashara zitakuja kuwa na madhara kwenye mazingira siku zijazo, ila sikupata ushirikiano mzuri nikaonekana kama mtu anayejifanya mjuaji.
Leo huyu mwenzetu ameshaanza kuona madhara.....
Kama unabisha nenda katazame mizinga iliyopo kwenye misitu au maporini, uone kama inakutwa na hili tatizo.
Nyuki huwa wana athiriwa sana na dawa za kuuwa wadudu zinazopuliziwa kwenye mimea mbali mbali ya mazao ya biashara.
Kumbuka nyuki anapokuwa anatafuta material ya kutengeneza asali huwa anapapasa karibu kila mmea. Kwa bahati mbaya hii mimea ya kisasa huwa inapuliziwa dawa za kuuwa wadudu waharibifu ambazo hizi dawa huwa ni sumu hat kwa mwanadamu.
Nyuki wanapopita especially maeneo yenye hiyo mimea na kuigusa, huwa wanarejea na ile sumu katika mikono yao na wanaingia nayo kwenye mzinga bila kujua madhara yake. Na inapotokea wakawa wengi na wakaisambaza, ikamfikia hadi malkia ndipo hapo huwa ni mwisho wa hilo koroni.
Hii tafiti niliifanya miaka mitatu iliyopita kwa kutazama video za kimazingira huko YouTube. Na nilishaizungumza kipindi fulani kuwa haya madawa na mbegu za kibiashara zitakuja kuwa na madhara kwenye mazingira siku zijazo, ila sikupata ushirikiano mzuri nikaonekana kama mtu anayejifanya mjuaji.
Leo huyu mwenzetu ameshaanza kuona madhara.....
Kama unabisha nenda katazame mizinga iliyopo kwenye misitu au maporini, uone kama inakutwa na hili tatizo.
Kiingereza chake mkuukudhalisha.........hii ni changamoto namba moja kwenye hii ishu..
Tumewai fanya hii ya kuzalisha makundi ya nyuki na pia uzalishaji wa malkia wa nyuki...Ni raisi Tena Sana Kama una vifaa.Wakuu,
Ningependa kufahamu yafuatayo,
1. Je! ni kweli upo utaalamu wa kuzalisha makundi ya nyuki na kuwahamishia kwenye mizinga?
2. Zoezi hilo huchukua muda gani hadi kuzalisha malikia mpya na kundi jipya?
3. Humu yupo mtu anayefanya hiyo kazi anayeweza kutoa ushuhuda au kuonesha practice?
3. Mfumo huo una ufanisi kiasi gani na changamoto zinazotegemewa ni zipi?
nawasilisha.
Shukuran sana Mkuu. TutawasilianaTumewai fanya hii ya kuzalisha makundi ya nyuki na pia uzalishaji wa malkia wa nyuki...Ni raisi Tena Sana Kama una vifaa.
Nyuki wanamtengeneza malkia wenyewe na wanaweza tengeneza ata malkia 100 kwenye mzinga mmoja! Kuna vifaa maalumu kwa kazi hii,sisi tuliagiza China kupitia alibaba.kuna Queen cells (za plastic) ambazo unaweka katika mzinga na unachukua mayai alaiyotaga malikia wa nyuki na kuyaweka katika hizi Queen cells.nyuki watazitunza hizi Queen cell zenye mayai kwa kulisha chakula special Cha malkia wa nyuki kinachoitwa queen jerry.nyuki wakiona queen cells wao wanalisha chakula Cha kuzalisha malkia aijalishi idadi ya queen cells katika mzinga.unaweza zalisha ata queens 300 au zaidi kwa Mara moja toka mzinga mmoja...ila queen 2 awawezi kaa katika mzinga mmoja...nyuki upiganisha malkia mpaka mmoja afe mmoja abakie....so kabla malkia awatotolewa inabidi uhamishe hizo queen cells...iwapo Kama unataka kufanya hili zoezi tuwasiliane..na few queen cells za plastics so unaweza jaribu...mwakani 2020 nna mpango wa kuanzisha project ya mizinga 10.000 Morogoro tunajenga queen realing lab ndani ya viwanja vya nane nane...wameshatupatia eneo pale na tulishalipa fees zao.
Cell ya kuzalisha malikia huwa inaangalia chini tufauti na za kuzalisha nyuki wa kawaida..nimeweka picha hapa ili uweze tambua queen cellzView attachment 1287038View attachment 1287038
malikia akishazalishwa anapelekwa kwenye mzinga wenye nyuki wadogo,wakubwa huwa tifu kumkubali malkia ,na kuna utaratibu wa kumuweka mpaka akubalike vinginevyo atauwawa na nyuki ,unapomuweka kwenye mzinga lazima usome saikologia ya nyuki ,unamuweka kwenye cage maalumu yenye wavu,kinsakina
Sasa, kabla ya kuweka makilia mpya kwenye mzinga mpia bila kundi la nyuki, si lazima mzinga huo uwe tayari una masega au?
Na kwa Tanzania, hiyo teknolojia ya kuzalisha malikia au makundi ya nyuki iko wapi 'In practice'?
Samahsni sana kwa kchelewa kujibu ujumbe wako. Ningependa kukuambia kua unaweza kufuga nyuki katika mashamba ya mikorosho bila wasiwasi na pia nyuki watasaidia kuchavusha mikorosho yako. Nigependa kujua izo kemikali za salfa huwa mnatumia muda gan na sehemu gan ya mti wa mkorosho.Je naweza kufuga Nyuki kwenye shamba la mikorosho?
Note; Kwenye mikorosho huwa tunapulizia dawa ya salfa, Je haidhuru nyuki? ama kupunguza ubora wa Asali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tunaweza kuchukua na kama una nta naomba uwasiliane nasi 0758789956Rafiki Asali. kama kuna chanzo salama cha kuaminika mnaweza kuchukua Asali? Bei mnanunua kiasi gani kama mnanunua?
Ndio inapatikana wasiliana nasi 0758789956Je na ninyi mnauza mizinga tayari imiwa na nyuki?
Karibu sana wasiliana nasiHapo kwenye nta hapo!! Naweza kushirikiana nanyi na hatimaye kuliongezea zao la asali thamani!! Ningependa nipate mawasiliano na wahitaji wa nta na asali mbichi.. karibuni sana namba yangu ni 0762044550
Tunashukuru sana kwa ushauri wao tunakaribisha watu wenye mawazo kama yako waweze kutushauri, tutafanyia kazi swala lako.Kwa nini msianzishe soko la asali la ndani na nje ya nchi, na muwe mnanunua kutoka kwa Wafugaji?
Mkatengeneza mfumo mzuri wa kuhakiki ubora wa asali na mkawahakikishia Wanunuaji kwamba wakinunua asali kwenu zina ubora wa asilimia 100%.
Katika iyo mizinga unataka mizinga ya kisasa au ya kawaida na pia unataka ya nyuki wadogo au wakubwa
Ulimuona Kule kwenye kula tunda kimasihara????Kumbe mkuu kwenye haya masuala pia upo! safi!
Kuna sababu nyingi ambazo huweza kusababisha vifo vya nyuki katika mzinga, moja wako ni uwepo wa matumizi makubwa ya kemikali katika kilimo karibu na mizinga. Lakini pia sababu ni nyingi ambazo lazima uone kwa undanj zaidi. Tungependa kuona picha zaidi. Au wasiliana nasi.Salama wakuu,
Nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya nyuki kufa kwenye mizinga kwa sababu ambazo sijazielewa mpaka sasa.
Kwa wazoefu wa nyuki, ni mambo gani hasa yanaweza kupelekea nyuki kufa?
View attachment 1286616