Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 Jun 9, 2017 #2 Mkuu sisi warefu huwa tunapata tabu sana..
Abbasfarudume JF-Expert Member Feb 14, 2017 1,625 1,325 Jun 9, 2017 Thread starter #3 Pole sana mkuu ndio ukubwa huo Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Paw Content Manager JF Staff Nov 14, 2010 2,114 1,380 Jun 9, 2017 #4 Loh hiyo bahari ya nje haikuingia ndani ya choo pia?
Handsome man JF-Expert Member May 6, 2017 880 956 Jun 9, 2017 #5 Daaah huu Usawa wa maisha sio, ni mwendo wa kuchuchuma tu kama mateka