Uswazi kuna raha zake, wazijua?

akina mama wanaoshinda nyumban tabu tupu. . yan wakiona umepika kapilau na wenyewe hao. ukinunua hiki na wenyewe wananunua. yan full mashindano. ukisuka yeboyebo nao wanasuka kha!

Kila kitu ni gumzo tu uswazi,usifanye ktu.
 
لاحول ولاقوت
 
Kukiwa na pombe za bure mambo huwa hivi! pombe mbaya.jpg
 
uswahilini maisha hayana gharama,
ukitaka hata sukari ya sh 100 utapimiwa,

miguu ya kuku na utumbo wa kuku mnatupa, wakati huku uswazi ni mboga,
 
mama kumtukana mwanaye tusi la nguoni linalomuhusu ni kawaida na baba yupo kimyaa.
Na kama una TV wote watajazana kwako.
 
1. Mtoto unakuta anachezea condom coz zikitumika zinatupwa ovyo
2.Msichana anakosa hata Tsh 100 ya kuingia banda la video sasa mdhamini uone kama hujagandwa nae.
3.vyumba vya kupanga watu wanashindana milio ya sabufa na miguno ya ngono usiku.
 
wangu vip?..
eti uswazi maana yake nini kwa kiswahili?...
afu nimekumis ww!

aafu yaani hivi ulivyoandika ndio zao wa huko uswazi, askienda kwao likizo ajitia kasahau lugha ya kwao wakati amekulia huku mjini kaja akiwa anatumia 'topaz'! yaani wewe ndio mswazi typical! uswahilini kuna vituko!
 
Back
Top Bottom