Uswahilini Matola

Uswahilini Matola

Sputam

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
600
Reaction score
390
Naomba kujua km kundi hili la mziki wa kizazi kipya km bado wapo dunia hii
 
hawa watu wako tmk chini ya saidi fella na mmoja alifariki mwaka jana yule aloimba na chege kibao cha dar mpaka moro
 
hawa watu wako tmk chini ya saidi fella na mmoja alifariki mwaka jana yule aloimba na chege kibao cha dar mpaka moro

Mkuu sio unachanganya YP na Y-Dash? Maana YP ndio alifariki Mwaka jana na alishirikishwa kwenye nyimbo ya Chege

Uswahilini Matola walikuwa kundi lingine
 
Duuuh.. Nilikuwa nawa-feel sn hawa watu!! Hasa ile track ya kosa la Marehemu
 
hawa watu wako tmk chini ya saidi fella na mmoja alifariki mwaka jana yule aloimba na chege kibao cha dar mpaka moro
Acha urongo. Mmoja wao tuko naye Boko....... anapiga viroba kama hana akili nzuri. Hivi sasa ni dereva wa mzungu mmoja hivi....
 
yule aliyeimba kosa la marehemu verse ya kwanza mara mwisho nilimuona canteen ya ifm alienda kula na kicheche sijui alikiokota wapi!,yani dizaini ya mwajuma ndala ndefu,kilikuwa kinamuungurumia mpaka aibu nilikuwa naona mimi,nilikaa nao meza moja...wote walikuwa wamepauka mbaya....it happened once upon a time,back in 2007.
 
My God!! Kumbe hawa washkaji washapotea!! Thnx kwa info wadau.
 
Back
Top Bottom