Ususi na urembo

Ususi na urembo

linah smile

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
84
Reaction score
57
Kwa wale wanaohitaji kujifunza masuala ya ususi na urembo yani kujifunza kusuka nywele aina mbalimbali kama yebo yebo,kukroch,kizip,nanasi na nyingine nyingi,pia jinsi ya kupaka makeup,kutengeneza mawig,vikofia,kufunga lemba na mengine mengii
Karibuni sana tupo geita nyankumbu ada zetu ni nafuu sana utalipia 350000 kwa miezi mitatu,ada italipwa kwa awamu,hosteli zipo isipokuwa mwanafunzi atajitegemea kwa upande wa chakula
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0676983629/0625717786 ujuzi ni sehemu ya maisha yako masomo yataanza rasmi tarehe 17/2/2019 karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom