Usumbufu Tumaini Hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usumbufu Tumaini Hospital

Discussion in 'JF Doctor' started by mariavictima, Jul 21, 2011.

 1. m

  mariavictima Senior Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeona nilete hii mada hapa JF ijadiliwa na pengine itapatiwa ufumbuzi maana naamini kuwa wahusika au Owners wa Tumaini Hospital ni wadau pia wa JF. Hivi mnaweza kuamini kuwa hospitali kubwa kama Tumaini haina kipimo cha X-ray? Inakuwa usumbufu mkubwa sana pale unapotakiwa kupigwa X-ray na kuambiwa uende hospitali nyingine ukafanye hicho kipimo halafu ulete majibu kwao Tumaini. Wanaoteseka na kusumbuka zaidi ni wagonjwa wanaotumia Bima ya afya kwani wengi wanaitegemea hospital ile. Hebu uongozi badilikeni na muweke vipimo vinavyoendana na hadhi ya hospitali yenu. Mbona mnapata pesa nyingi sana????
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  sio X-ray tu mkuu! hata kipimo cha utra sound hawana, mi niliwai kumpeleka mtu pale wakamwambia aende akapime aghakan halafu alete majibu. Mi nilihisi labda wanapigiana mapande hawa jamaa.
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  sorry hivi ile dispensary, kijiwe cha madaktari nayo unaiita hospitali kubwa?
   
 4. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee hata mimi waliniambia ultra sound hakuna niende regency, inasumbua sana!
   
 5. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Leteni feedback wameweak hivyo vipimo vya Ultra Sound na X-Ray?
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2013
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red ni tatizo kubwa kwenye hospitali nyingi
   
 7. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Heri hao wanaosema hawa hicho kipimo kuliko wale wanaopima uongo na kutoa majibu kupitia uzoefu...
  Ukaguzi katika mahospitali na vitua vya afya ni muhimu mno
   
 8. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa ultra sound ipo but huduma ni mbovu sana.hasa wale wadada wanaofungua mafaili na maabara.aah ipo kama amana tu utadhani sio private.na nimeona tangazo from leo hawapokei bima tena.
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Wanatafuta kupigwa ban hawa. Ingawa utashangaa serikali haifanyi chochote au itakuwa kuamua baada ya muda
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tumaini imekuwa kama hospitali ya kata
   
 11. C

  COPPER JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,670
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Tumaini inalalamikiwa sana, wajirekebishe.
   
Loading...