Disposal
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 285
- 78
Njia ya John Mwanza kuja jijni Dar haileweki, kiukweli madalali wa mabasi wanatutesa wananchi. Wanakuuzia ticket, asubuhi unafika gari hawana, matokeo yake wanakupeleka kwa hovyo na genji washakula, unabaki kuhangaika tu. Imenitokea jana kipindi natoka Mwanza to Dar.