Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Muhadhiri Maarufu nchini Ustadh Habib Mazinge amesema, Sheikh Ponda Issa Ponda ni Mwanaharakani mkubwa nchini na kwamba kila wao walipo pata matatizo ya kukamatwa na Polisi kwa kazi yao ya kuhubiri dini ni Sheikh Ponda aliye kuwa na shughulika kuhakikisha wanatoka wote wakiwa salama.
Ameyasema hayo jana wakati akihutubia katika msiba wa Muhadhiri Maarufu nchini Ustadh Yahaya Hosea alie fariki dunia Ijumaa ya tarehe 19.03,2021 na kizikwa jana tarehe 20.03.2021 majira ya saa 11 jioni katika makaburi ya Mwanamtoti Mbagala jijini Dar es Salaam.
Maneno haya ya Ustadh Mazinge yamepokelewa kwa namna tofauti tofauti hasa ukifatia tukio la tarehe 18 Oct, 2020 ambalo Ustadh Mazinge na baadhi ya Wahadhiri walionekana mbele ya kamera za wana habari wakimshambulia Sheikh Ponda Issa Ponda kwa Kauli yake ya kusema kwa niaba ya waislaam kuunga mkono mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana.