Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo huamini au? Mbona mitaani inafahamika tabia za maustadh, angekuwa padri, angeshambuliwa ata kama kasingiziwa. Mpaka watataka Sheria za kanisa za kuoa zibadilishwe.
Nadhani Kuna njama za kuwachafua Masheikh na maustaadh kwa bifu za Kugombania wadhfa....kama ni anasingiziwa basi Allah(s.w) atasimama naye but kama ni ukweli basi Adhabu dhidi yake iwe moto wa milele ustawiao kwa mawe na kuni za nyika...Allah-waqil
 
Huo msikiti haufai kuingia tena maana kwa kitendo hicho lazima haja kubwa ilitoka japo kidogo. Halafu usitaadh lazima alitema mate japo kidogo. Sasa mskiti ukishaanywa choo huo ni mskiti au choo ?
Mzee we unaonekana mzoefu sana kwenye hii fani
 
Kijana. Mimi ni mtu na heshima zangu. Heshima ni kitu cha bure. Jiheshimu nitakuheshimu.
Me nakuona ka msengery tu maanake kutokana na ulivyoandika hapo moja kwa moja itakuwa unafanya au unafanyiwa hayo mambo!
 
Hivi ukiwa msabato ni kipimo cha uchizi?

Dini yako iliyoanzishwa na mwanamke Hellen G White ndio ya maana? Fanculo.
Mimi siyo "msabato" lakini naiheshimu na kuishika Amri ya nne ya MUNGU inayosema; "Ishike siku ya Sabato na uitakase kama BWANA MUNGU wako alivyokuamuru...."

Mkuu Matola kama unaidharau siku ya Sabato na kuinajisi, basi wewe siyo "Mkristo wa kweli" hata kidogo. YESU KRISTO na Mitume wake wote waliishika siku ya sabato na kuitakasa kama BWANA MUNGU alivyoamuru. Hata YESU KRISTO alijiita BWANA WA SABATO.

Sasa kama YESU KRISTO alijiita BWANA WA SABATO iweje wewe uidharau Sabato?? Hivi inawezekana vipi mtu akawa BWANA wa kitu ambacho hakipo??? Au inawezekana vipi mtu akawa BOSI wa OFISI HEWA??? Tapeli peke yake ndiye anaweza kuwa BOSI wa Ofisi hewa.

Tafakari kwa makini na ujiulize hayo maswali, kama YESU KRISTO ni BWANA wa SABATO, basi Sabato ipo tena itaendelea kuwepo milele kama ambavyo YESU ni wa milele vile vile.
 
Kwanj sabato ni lini katika siku za juma? Uba uhakika gani uwa J'mos ndo siku ya sabato!?
 
Waislam noma,saana halafu wanawaita wakristo eti makafiri! Halafu et mtoto anafundishwa quran huku amepakatwa!
We gala kweli .... hiyo ni kosa la mtu na sio uislam kwani wanaongoza kulawiti watt ni kina Nani km si mapadri kanisani.... Sheria ya uislam ni kuuwa mtu anaefanya ulawit i
 
kwa hapa zanzibar hiyo ni kawaida na hata wakienda mahakamani kesi amna hapo,
 
Kama wewe ni Mkristo, soma Biblia yako vizuri na utajua siku ya sabato ni ipi.
Jibu swali, sabato ni siku gani? Je unafahamu kwamba hii kalenda tunayotumia ni Gregorian calendar?

Kwa kifupi Gregorian calendar ni kalenda ya wakatoliki, sasa yule changudowa wenu Hellen hakuwapa kalenda yenu?

Ona hapa, Waislamu wana kalenda yao, Wachina wana kalenda yao, Waethiopia wana kalenda yao, je nyinyi Wasabato kalenda yenu ni ipi?

Nakusubiri hapahapa unipe jibu.
 
Tukiwa bado tuko visiwani na suala la ulawiti. Naomba kuuliza. YULE jamaa wa TRA ZANZIBAR almaarufu Kiringo kesi yake vipi ? Kama alishinda basi hata ustaadh atashinda kiulaiiiini.
 
Hawa viongozi wa dini wa siku hizi wamezidi uharifu.
Huku kwetu kwa wakatoriki nako balaa tupu, maovu ya namna hii ndo yanayoshusha Imani za waumini kwa kiwango kikubwa sana.
mbona unaongea na mada tofauti huo ndio udin sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom