Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Status
Not open for further replies.
Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13 msikitini ndani ya Ramadhani.

Ustadh huyo ambae aliyefahamika kwa jina la Abdulkadir Rajab Miraj mwenye umri wa miaka 30 mkaazi wa Kisauni Unguja. Anadaiwa kumlawiti mtoto wa miaka 13 ndani ya msikiti wa Kwajecha huko maeneo ya Nyamanzi Unguja.

Sheha wa shehia ya Nyamanzi Issa Abdallah Ali amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema mtuhumiwa huyo kwa sasa yupo kituo cha Polisi Fumba.

chanzo:
Breaking News Kiswahili
Mchungaji amchinja mkewe huko Dodoma.
 
Hawa ma ustaadh siyo kabisa.
Mwingine kapigwa miaka 60 huko Bukoba hivi majuzi kwa makosa kama hayo.
 
Nadhani Kuna njama za kuwachafua Masheikh na maustaadh kwa bifu za Kugombania wadhfa....kama ni anasingiziwa basi Allah(s.w) atasimama naye but kama ni ukweli basi Adhabu dhidi yake iwe moto wa milele ustawiao kwa mawe na kuni za nyika...Allah-waqil

Mashallah
 
Uislamu na Ukatoliki zote ziko chini ya kiongozi mmoja tu ambaye ni "Lusiferi". Ukienda kwa Wakatoliki utakuta watoto wadogo wanalawitiwa, ukija kwa Waislamu utakuta watoto wadogo wanalawitiwa. Tena siyo siku hizi tu, haya mambo yapo miaka nenda rudi.
Michezo hiyo ipo sana tu sema watu wamepofuka kwa fumbo la imani.
 
Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13 msikitini ndani ya Ramadhani.

Ustadh huyo ambae aliyefahamika kwa jina la Abdulkadir Rajab Miraj mwenye umri wa miaka 30 mkaazi wa Kisauni Unguja. Anadaiwa kumlawiti mtoto wa miaka 13 ndani ya msikiti wa Kwajecha huko maeneo ya Nyamanzi Unguja.

Sheha wa shehia ya Nyamanzi Issa Abdallah Ali amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema mtuhumiwa huyo kwa sasa yupo kituo cha Polisi Fumba.

chanzo:
Breaking News Kiswahili
Hawa ndo wanachapa watu wanaokula chakula eti mwezi mtukufu. Aibu yenu mashetani nyie
 
Msikitini """? Hah hahaha Mimi na ubazazi wangu wote lakini siwezi kufanya hiyo "" duuuh"...halafu waweza kuta Jamaa alikuwa amefunga ""....Binaadamu tuna msingizia Mungu Mambo Mengi Mnooo""....Sijui kwanini MuNgu aliamua kutoonekana"",......
Kwa sababu wewe ni mwanamke
 
Uislamu na Ukatoliki zote ziko chini ya kiongozi mmoja tu ambaye ni "Lusiferi". Ukienda kwa Wakatoliki utakuta watoto wadogo wanalawitiwa, ukija kwa Waislamu utakuta watoto wadogo wanalawitiwa. Tena siyo siku hizi tu, haya mambo yapo miaka nenda rudi.
Hivi ukiwa msabato ni kipimo cha uchizi?

Dini yako iliyoanzishwa na mwanamke Hellen G White ndio ya maana? Fanculo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom