Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13

Status
Not open for further replies.
Hawa ma ustaahi kwanza usthaaz ni jina la kihuni haliko katika uislamu. Lilianza Na wahuni wa kinondoni Na ilala. Hawa waitwe wahuni tu haiwezekani mtoto akalilishwe Qur'an huku kapakatwa. Tuweke madawati na viti majamvi yamepitwa na wakati
 
Ninachoomba hapa dini na MTU mmoja mmoja vitofautishwe kwenye uchangiaji wa mada
Mkuu ni vigumu kutofautusha hasa wahusika ni mapadre maaskofu na masheikh. Hii tabia ni ya siku nyingi katika dini zote. Tatizo watoto walikua wanaogopa kusema ndiyo hapo maaskofu wachungaji mapadre na masheikh wali take advantage . Halafu wanatuambiwa kuna moto akhera kwanini qatuonee huruma sisi ya kuungua moto badala ya kujionea huruma wenyewe? Hakuna dini hapa ni utapeli tu sina imani na dini yoyote ile. Huyo angemfanya hivi mtoto wangu huo msikiti ana kabisa ningeluchoma moto na yeye ningemkata huu mkia wake wa tatu. Ndiyo maana watoto wengi wamekuwa wasenge kumbe Sunday school na madrassa ndiko wanakojifunza.
 
Huyo ustadhi apelelekwe kwenye mahabusu iliyojaa majambazi ya hali ya juu, alafu alawitiwe mpaka utumbo umtoke!
Alafu anyongwe that’s all!
Fundisho kwa wengine!
 
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani, Ufiaraji ni sawa na haki ya mwanaume. Ulaji wa kitimoto zi dhambi mbaya zaidi ya ufiraji
 
Mbona hao mashekh wanapenda sana kulawiti angali wana wake wengi tu, hadi wanne..?
Wanawafundisha nini watoto huko madrasa...
Wanaona kula kitimoto ndio haramu na kosa kubwa zaidi tu!

Mbona unawasahau makasisi mkuu, au kwa kuwa huku ndio ulikoaminishwa kuna tabia hiyo.
 
Miye naomb kuuliza mbona mashekhe tu wapi wanasoma au mandiko yepi ambayo huwaingia mpaka wanamua kutenda hivyo.
 
Ulawiti ina maana ni mtoto wa kiume kafanyiwa kwa nyuma, duh!balaa sana
 
Daah! Haya Mambo yalikuwa wapi kuibuka kabla ya Ramadhan?
 
Hawa viongozi wa dini wa siku hizi wamezidi uharifu.
Huku kwetu kwa wakatoriki nako balaa tupu, maovu ya namna hii ndo yanayoshusha Imani za waumini kwa kiwango kikubwa sana.
Uislamu na Ukatoliki zote ziko chini ya kiongozi mmoja tu ambaye ni "Lusiferi". Ukienda kwa Wakatoliki utakuta watoto wadogo wanalawitiwa, ukija kwa Waislamu utakuta watoto wadogo wanalawitiwa. Tena siyo siku hizi tu, haya mambo yapo miaka nenda rudi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom