Dini kubwa kuliko zote inaanzia moyoni(nafsi) mfano mdogo ni pale unapomfanyia rafika yako jambo baya hata kama uliyefanyia hafahamu ulichofanya... kule kushtakiwa na nafsi unakokusika ndio dini ya kweli hiyo hayo mengine yaliyoandikwa kwenye misaafu na biblia ni utamaduni na hadithi zilizotoka kwa hao walioandika.
Makanisa, misikiti, sinagogi huwa tunaenda tu kuficha madhaifu yetu na ndio maana hii habari wengi tunaochangia tunaelekeza shutuma kwenye imani ya huyo ustaadhi bila kujali jamii iliyomzunguka...yaani ni muharifu anayeabudu katika dini ya uislamu.