MJUNKI
Member
- May 27, 2013
- 65
- 18
Katika pita pita za kutafuta maisha,nimepita mitaa ya magomeni mapipa nikaona dampo limeanzishwa barabarani..Jamani hii ni aibu kubwa kutupa taka ovyo,ukizingatia hata barabara yenyewe haijafunguliwa rasmi na mwendo kasi haujaanza kufanya kazi.