Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

ustaarabu unaishia nje tu.
Yaani uanze tu kuninanihii kama unamnanihii dadaako kiaibu aibu khaaaaa.
Nasty kwa sana tu, ustaarabu ni huko tukiwa barabarani.
Tukiwa ndani ni tunakuwa wengine kabisaaaa.
I like crazy s.ex kwa kweli ila hii ya kistaarabu kesho tu ntaanza kutamani tena.

hahahahaa umenifurahisha sana apa dada. hutaki akugegede 'kiofisa' eeh. kweli crazy se.x inanoga sana, ila wanawake wengi hawapendi crazy fu.c.k
 
anigegede kiofisi kwani mie dadaake jamani?
Hapo ni crazy things baasi.
Ustaarabu utaonyesha barabarani

ni kweli kichuna wangu. mkishaingia chumbani bhaaasssi ni 'crazy paradise'. u-decency wake ni huko nje.
 
Haunywi pombe
Huvuti sigara wala bhangi
Huendi klabu woote huo ustarabu hata kugegeda nako huweziii pu.mba.fu sana ww
 
Baba Clare: "Mama Claree chochea moto..."

Mama Claree "Embphuuu... emphuuu!!! embphuuuu!!

Baba Clare: "Mama Clare NAKUAMBIA chochea motoooo ... "

Mama Claree "Embphuuu... emphuuu!!! embphuuuu

Hahahahhaahahahahahaha

You made my day.
 
Hahaaa hahaaa, labda kwa mara ya kwanza, ila zinazofuatia kiruuuu woyii mbuai mbuai uso kauzu
 
Chumbani sioni aibu hata kidogo, huwa nikirecall nacheka sana.
 
Mmmh! Huu uzi ni wa wakubwa ngoja sisi watoto tupite kimya.
 
Mtu yuko ndani na mumewe lakini anampa kwa kujibaana dizaini kama anaogopa mumewe atamuona malaya!
Ukiwa chumbani Umalaya haukatazwi!! fanya kama vile hautafanya tena, mfanye mtu akose sababu za kuchepuka kabisa!!
yaani mtu asichepuke kwa tamaa ya sex labda iwe ni kwa vitu vingine vya kidunia ambavyo wewe umevikosa kwa wakati huo na si kwa kushindwa kuutumia vizuri mwili wako!!
 
Mkuu hapo nimekusoma sana ni kweli kabsa wakinamama wanaogopa kwa sababu ya mwanamme wake atamfikiria labda malaya nina mfano fulan kuna jamaa yangu alitongoza demu ila demu alimwambia kua yeye ni bikra kimbembe cku ya kula mzigo sas yule dada alijifanya ata romance ajui cha ajabu sasa ligi ilipamba moto balaa duh ule mchezo ni wa ajabu sana yule dada alitoa maufundi ya hatar cha ajabu yule dada sio bikra nilichotaka kumaanisha kuwa uyo mtoa mada yupo sahihi aya mambo yapo
 
Wakati mwingine shetani amesingiziwa kwa vitu viingi sana tunapokosea wenyewe katika ndoa zetu, kumbe ni sisi wenyewe kwa aibu au ulegevu tumeleta shida vyumbani mwetu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom