Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

Mtu yuko ndani na mumewe lakini anampa kwa kujibaana dizaini kama anaogopa mumewe atamuona malaya!
Ukiwa chumbani Umalaya haukatazwi!! fanya kama vile hautafanya tena, mfanye mtu akose sababu za kuchepuka kabisa!!
yaani mtu asichepuke kwa tamaa ya sex labda iwe ni kwa vitu vingine vya kidunia ambavyo wewe umevikosa kwa wakati huo na si kwa kushindwa kuutumia vizuri mwili wako!!

Well said!
 
hahahhahha, karibu twende sawa.

hahaha nishakaribia mama. apo mbona umenipata, coz naona kila dalili kwamba Kichunafk & Kaveli ni ndege wafananao. so why not tusiruke pamoja??!!! ebu count me in.
 
Wataalamu huwa wanaiita Dirty S.e.x

Mtuu anaandaliwa remotely.....

wapo wanayoipenda, wapo wasioipenda. Kwa hivyo ni vyema kumjua mwenza anapenda ipi
 
Ya kiofisa ni mbaya!!
una round tatu kitanda hakijatanduka!!!
 
Mtu yuko ndani na mumewe lakini anampa kwa kujibaana dizaini kama anaogopa mumewe atamuona malaya!
Ukiwa chumbani Umalaya haukatazwi!! fanya kama vile hautafanya tena, mfanye mtu akose sababu za kuchepuka kabisa!!
yaani mtu asichepuke kwa tamaa ya sex labda iwe ni kwa vitu vingine vya kidunia ambavyo wewe umevikosa kwa wakati huo na si kwa kushindwa kuutumia vizuri mwili wako!!

weka picha tuone sio tu kubwabwaja kwenye keyboad
 
Eti mtu mzima kabisa na ndoa yake usiku anamwomba mkewe "Mke wangu naomba unyumba!!"
Au mke anamwambia mumewe "Mume wangu ingiza uume wako!!"

Ukiwa chumbani na mkeo/mumeo inapendeza kama viungo vyenu muhimu katika tendo mfanyalo mkaviita kwa majina yake sahihi na si kuviita kama walimu au wachungaji!!
Huu ni baadhi ya ustaarabu ambao kwa chumbani hauna maana kabisa na unapoozesha shughuli yenyewe kabisaa!!

Yaani mkuu umenifanya nicheke ulivyotaja hivyo vyeo viwili kwahiyo hao ndo wanaustaarabu kwenye mambo ya chumbani?
 
Yaani mkuu umenifanya nicheke ulivyotaja hivyo vyeo viwili kwahiyo hao ndo wanaustaarabu kwenye mambo ya chumbani?


Hawa wametumika kama mfano tu wa jamii ambayo inategemewa kufundisha watu ustaarabu katika jamii!
Sasa kufanya kama wao ukiwa na mwenzio Masterbedroom ni tatizo!!
 
ustaarabu unaishia nje tu.
Yaani uanze tu kuninanihii kama unamnanihii dadaako kiaibu aibu khaaaaa.
Nasty kwa sana tu, ustaarabu ni huko tukiwa barabarani.
Tukiwa ndani ni tunakuwa wengine kabisaaaa.
I like crazy s.ex kwa kweli ila hii ya kistaarabu kesho tu ntaanza kutamani tena.

Umeona eeh....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom