Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.

Nilichotaka kuweka sawa ni kuwa hupaswi kuwa mstaarabu mkiwa chumbani yaani muact kama mpokanisani!!
mmeshavua nguo lakini baadhi ya mikao kwa mfano mtu unaona ni ya kihuni, Mtu upo ndani na mkeo au mumeo unamwambia naomba UNYUMBA!! unaitaje unyumba kama mpo kwenye semina!!
Nyoosha maneno!! inama, chuchumaa, lala fanya mwenzio atakavyo na ustaarabu uache hukohuko darasani!!

Hahahahaha, nmekusoma
 
Ningependa kushea hiki kidogo na ninyi wenzangu nisikie maono yenu.

Naamini kuwa kila mtu anapenda au angetaka kutenda na kutendewa ustaarabu, lakini kuna sehemu mimi binafsi naona ustaarabu ukizidishwa unakosa maana kabisa.
Inawezekanaje mtu uwe mstaarabu chumbani?

Uko na mpenzi wako chumbani kisha unaogopa hata kumwambia kuwa dear hayo mav.. zi yamekua marefu mno kanyoe!! nalo hili unajiskia nishai kusema!
Mwanaume mzima nawe unataka kula TUNDA kistaarabu!! kesho mkeo akipakatwa kihuni huko nnje na kulowea utalaumu??

kwa mtazamo wangu ustaarabu uliopitiliza ungeishia sebuleni tu kwa kweli na si bedroom!!
Kwanini umwambie akanyoe na wewe upo,kachukue kiwembe nyoa na wala sio jambo la kungoja kuambiwa kwani hapo anaepita nani kama sio wewe mwenyewe,mambo mengine madogo sana lakini muhimu kwa wapendanao...
 
ustaarabu unaishia nje tu.
Yaani uanze tu kuninanihii kama unamnanihii dadaako kiaibu aibu khaaaaa.
Nasty kwa sana tu, ustaarabu ni huko tukiwa barabarani.
Tukiwa ndani ni tunakuwa wengine kabisaaaa.
I like crazy s.ex kwa kweli ila hii ya kistaarabu kesho tu ntaanza kutamani tena.
Hahaha woman kumbe you are rude.... kitu full mikito mikito.....Lol!
 
Watu mko wawili tu ndani lakini utakuta mtu ana act kama vile labda mko barabarani mnaonekana!!
yaani ni full kujistukia, full kuona kinyaa!! unaoneaje kinyaa majimaji ambayo yakichanganyika na yako ndio hao watoto mlionao!! Tupa kule uofisa chumbani!

Chumbani hakukunaga matusi, chumbani hakuna aibu, Chumbani ni PEPONI!!
 
kuna dada naye mstaarabu hawezi kukatwa voooz na mme wake eti anaona noma mmh....
 
ustaarabu unaishia nje tu.
Yaani uanze tu kuninanihii kama unamnanihii dadaako kiaibu aibu khaaaaa.
Nasty kwa sana tu, ustaarabu ni huko tukiwa barabarani.
Tukiwa ndani ni tunakuwa wengine kabisaaaa.
I like crazy s.ex kwa kweli ila hii ya kistaarabu kesho tu ntaanza kutamani tena.

Aisee nimekutamani ghafla, hiyo ndio yenyewe mikasi mwanzo mwisho kama uko kwenye porn movie na Wesley pipe au Justin Slayer
Unapigwa balls nje ndani mpaka unasema hiki nini na mikao ya hatari kama popo Kanyea mbingu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom