Sababu hawatumii huko kwao, Hata za Usa mitandao ya CDMA kama Verizon ama Zamani Sprint ikiwa haijatolewa Lock vizuri haikubali ussd.
Hata hapa kwetu Zamani sasatel, TTCL na Zantel CDMA zilikuwa hazina ussd, ukitaka kuangalia salio unapiga tu 102 unaambiwa salio kwa sauti, ukitaka kuweka salio unapiga 104 sauti inakwambia weka Vocha etc.