Uso kwa uso na Jambazi Sugu

Uso kwa uso na Jambazi Sugu

Hujui kuna muheshimiwa anatumia jina la pili hapo, tafadhali usilitumie vibaya wengi watakuja kwa speed wakidhania ni yy.
 
Dogo umeamua kunisema humu nakusoma tu.....ahaaaaa umepigwa mkwara ukagwaya kama yumo humu
 
Jana mida ya saa 4 usiku wakati najiandaa kulala nikiwa katika wilaya ya Ngara katika baa moja ambayo pia ina nyumba ya kulala wageni niliingia chumbani kulala (Nipo hapa Kibiashara) saa 11 alfajiri ya leo niliamka ili kuwahi usafiri wa kwenda mpakani mwa Rwanda ambako huwa napeleka mchele kuwauzia wafanyabiashara wa Kigali, ile gest haipo self contained, kwa hiyo nilipoamka ilinipasa kwenda toilet kwanza, nilipotoka toilet mwili ulishikwa ganzi nilipomuona mwanaume mwenye miraba minne akiwa na bunduki ya kivita ambayo sikuweza kuitambua kama ni AK 47 au SMG.

Alikuwa akiikagua, aliponiona akahamaki na kuiweka ndani ya mfuko wa gunia huku akisema, ''Dogo nimekuona tangu jana baa unaonekana kiherehere sana, sasa ole wako uropoke Police kuwa eti umeniona na hii kitu, nitakuchinja njiani, we si Unaenda Rwanda? Utaona sasa''.

Siyo siri niliogopa kupindukia, na kweli jana pale baa nilimuona yule njemba wakati nikiwa na wenzangu na wengi pale walijua kuwa tunaenda wapi.

Kwa tabia za Police wa kibongo, siwezi kutoa taarifa, liwalo na liwe.
Mfanyabiashara wa mchele wa kimataifa unalala guest bubu? Kwi kwi kwi kwi kwiiiiiii!! Mchele unapeleka mpakani mwa Rwanda na Tanzania, Ngara ulienda kufanya nini? Yaani unaenda na mchele mpaka Ngara halafu kesho yake ndo utoke Ngara tena kuupeleka Rwanda? Hadithi zingine bwana, sijui watunzi wake ni mazezeta kiasi gani bwana!!
 
Tayari umeshatoa taarifa bro hivyo kuwa mwangalifu
 
Jana mida ya saa 4 usiku wakati najiandaa kulala nikiwa katika wilaya ya Ngara katika baa moja ambayo pia ina nyumba ya kulala wageni niliingia chumbani kulala (Nipo hapa Kibiashara) saa 11 alfajiri ya leo niliamka ili kuwahi usafiri wa kwenda mpakani mwa Rwanda ambako huwa napeleka mchele kuwauzia wafanyabiashara wa Kigali, ile gest haipo self contained, kwa hiyo nilipoamka ilinipasa kwenda toilet kwanza, nilipotoka toilet mwili ulishikwa ganzi nilipomuona mwanaume mwenye miraba minne akiwa na bunduki ya kivita ambayo sikuweza kuitambua kama ni AK 47 au SMG.

Alikuwa akiikagua, aliponiona akahamaki na kuiweka ndani ya mfuko wa gunia huku akisema, ''Dogo nimekuona tangu jana baa unaonekana kiherehere sana, sasa ole wako uropoke Police kuwa eti umeniona na hii kitu, nitakuchinja njiani, we si Unaenda Rwanda? Utaona sasa''.

Siyo siri niliogopa kupindukia, na kweli jana pale baa nilimuona yule njemba wakati nikiwa na wenzangu na wengi pale walijua kuwa tunaenda wapi.

Kwa tabia za Police wa kibongo, siwezi kutoa taarifa, liwalo na liwe.
Mkuu wee komaa naye tu usimuoneshe nidhamu ya uwoga ni kweli wakati mwingine ukiwapa police taarifa kna baadhi ya police ni ma snitch wao wataenda wapa info hao wazee wa ngwasuma"majambazi" baadaye watakufata wakufanyie kitu mbaya
 
"Uso kwa uso na jambazi sugu..."

Heading na content havishabihiani....
 
Jana mida ya saa 4 usiku wakati najiandaa kulala nikiwa katika wilaya ya Ngara katika baa moja ambayo pia ina nyumba ya kulala wageni niliingia chumbani kulala (Nipo hapa Kibiashara) saa 11 alfajiri ya leo niliamka ili kuwahi usafiri wa kwenda mpakani mwa Rwanda ambako huwa napeleka mchele kuwauzia wafanyabiashara wa Kigali, ile gest haipo self contained, kwa hiyo nilipoamka ilinipasa kwenda toilet kwanza, nilipotoka toilet mwili ulishikwa ganzi nilipomuona mwanaume mwenye miraba minne akiwa na bunduki ya kivita ambayo sikuweza kuitambua kama ni AK 47 au SMG.

Alikuwa akiikagua, aliponiona akahamaki na kuiweka ndani ya mfuko wa gunia huku akisema, ''Dogo nimekuona tangu jana baa unaonekana kiherehere sana, sasa ole wako uropoke Police kuwa eti umeniona na hii kitu, nitakuchinja njiani, we si Unaenda Rwanda? Utaona sasa''.

Siyo siri niliogopa kupindukia, na kweli jana pale baa nilimuona yule njemba wakati nikiwa na wenzangu na wengi pale walijua kuwa tunaenda wapi.

Kwa tabia za Police wa kibongo, siwezi kutoa taarifa, liwalo na liwe.

Mhhh amejuaje mkuu kua utasafiri kwenda huko? Angalia
 
Serikali imepitisha sheria ya mitandao hawataki kusikia habari km hizi. kaa zako kimya.
 
Hahahahahahahahahahaaa...naona tu mnavyoanza kupapakazia nyumbani kwetu!!
 
Jana mida ya saa 4 usiku wakati najiandaa kulala nikiwa katika wilaya ya Ngara katika baa moja ambayo pia ina nyumba ya kulala wageni niliingia chumbani kulala (Nipo hapa Kibiashara) saa 11 alfajiri ya leo niliamka ili kuwahi usafiri wa kwenda mpakani mwa Rwanda ambako huwa napeleka mchele kuwauzia wafanyabiashara wa Kigali, ile gest haipo self contained, kwa hiyo nilipoamka ilinipasa kwenda toilet kwanza, nilipotoka toilet mwili ulishikwa ganzi nilipomuona mwanaume mwenye miraba minne akiwa na bunduki ya kivita ambayo sikuweza kuitambua kama ni AK 47 au SMG.

Alikuwa akiikagua, aliponiona akahamaki na kuiweka ndani ya mfuko wa gunia huku akisema, ''Dogo nimekuona tangu jana baa unaonekana kiherehere sana, sasa ole wako uropoke Police kuwa eti umeniona na hii kitu, nitakuchinja njiani, we si Unaenda Rwanda? Utaona sasa''.

Siyo siri niliogopa kupindukia, na kweli jana pale baa nilimuona yule njemba wakati nikiwa na wenzangu na wengi pale walijua kuwa tunaenda wapi.

Kwa tabia za Police wa kibongo, siwezi kutoa taarifa, liwalo na liwe.

Huna maana!
 
ngara hapo ni sehemu ambayo bora uisikie jf tuuu...hua naendaga mara kwa mara kikazi silaha zimetapakaa saana yaani ni sehemu hatarishi sana hapa tanzania
 
Na hivi Burundi pameanza kutifuka zitazagaa kama nini.Kiukweli sioni chumvi yoyote kwa mleta mada maeneo hayo ni hatarishi kuna watu wengi wamepotezewa dira ya maisha maeneo hayo coz kutekwa sio issue pande hizo.
 
Back
Top Bottom