Uso kuharibika baada ya matumizi ya Clozole-B cream

Uso kuharibika baada ya matumizi ya Clozole-B cream

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
Habari za Majukumu wakuu na wahudumu wa afya.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.


Kuna Mwanamke ametumia clozole -B cream kama urembo usoni kinyume na matumizi yake na imepelekea uso wake kuharibika kwa kuweka reddish and black patches kwenye eneo la mashavu.


Hivyo anaomba ushauri atumie dawa gani kurudisha uso wake katika hali ya kawaida. Chini naweka crop picture ya mashavu yake
20211229_112915.jpg
 
Atumie dawa tena kurudisha hali ile ya kawaida yenye chunusi na ngozi nyeusi ambayo alikua haitaki.

Kweli binadamu ni wagumu kuelewa. Ebu tuingie 2022 na iyo ngozi nyeusi

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Alivyokuwa mwepes kutumia hayo macream mbona hakuomba ushauri il ashauriwe vitu vitakavyomfaa bila kumuaffect?.

Anyway mjitahidi kujiamn bila kutumia fake appearance...
 
Back
Top Bottom