Cowboy
Member
- Sep 23, 2010
- 27
- 2
Habari wanaJF,
Kwa mtu mwenye USLME Lecture Notes Video Step 2 and 3 tafadhali naomba ajitokeze kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana.
Mimi ninazo Videos za Step 1 tu, so kama kuna mtu yuko interested nazo, tunaweza tukabadilishana, just PM me!
Asanteni!!