Usiyoyajua kuhusu Said Meck Sadiki

Usiyoyajua kuhusu Said Meck Sadiki

Huyu Mzee alikuwa mtu mzuri sana. Kwa umri huo wacha apumzike

Hii ndo kasumba ya binadamu. Mazuri na mabaya ya wenzetu tunayaona wakishatoka kwenye nafasi zao. It is human nature.

Leo tunaambiwa Kikwete was the best President ever! Ingawa alitukanwa kama dhaifu, asiye na vision, anayeweka mbele uswahiba kuliko maslahi ya taifa nk.

Ngoja ngosha na yeye aondoke..utasikia hawa hawa wanaomtukana wakisema.... ndo Rais pekee alithubutu kufanya hiki au kile......kufukuza watumishi hewa, kuondoa watumishi fake nk.
 
Ni mzee wa hekima na busara mno kiukweli nampenda mno kwa utendaji wake wa kazi., na pia ametumia hekima hata kujiuzulu Mungu akubariki baba.
 
Kwa uadilifu wake aliweza kujenga majumba makubwa manne kule Gezaulole ! hongera mzee kwa kustaafu! nenda kapumzike salama,!
Miaka 72 na nyumba nne tu?
Mbona chache, tena Gezaulole?
Nikifikiri Oysterbay!
 
Miaka 72 na nyumba nne tu?
Mbona chache, tena Gezaulole?
Nikifikiri Oysterbay!

hizo ni zile ukienda Geza unaoneshwa hizi za Mecki Sadiki, hii ya Hawa Ghasia, sasa huk kwengine sijui huenda akawa amejenga pia! SI UMEMSIKIA YULE WA TAKUKURU?
 
Du! awamu hii wamejaa watu wa Kanda ya ziwa tupu
No. Katika ukabila namtetea, japo asili yake haikwepeki kutokana na rafudhi yake. Sijawahi kuona akitanguliza ukabila. Lakini pia si dhambi ukikutana na mtu wa kabila lako nje ya kwenu ukamfurahia maana anakua kama sehemu ya ukoo.

Kuna baadhi ya makabila hasa kama baadhi ya wasukuma asili yao huwa ni urafiki kwanza.

Wasukuma wengi wanapenda urafiki na huwa wanajivunia kufahamiana na watu ambao sio wasukuma wanapokua marafiki zao.

Sema wengi wao walitendwa sana kutokana na hilo kiasi kwamba siku hizi wameshituka.
 
Mimi binafsi nimeguswa sana na Mzee Sadiki kwa uamuzi wake wa kujiuzuru ili apumzike akiwa na afya njema ,miaka 72 ni umri wa kukaa na wajukuu na kufurahia maisha baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi, nawashangaa akina Mugabe wetu ambao umri umewapita lakini bado wana ndoto za kuwa maraisi.Kwaheri Mh Sadiki umefanya mengi katika utumishi wako uliotukuka, nasikitika tu hakuweza kutuaga kwenye sherehe za May Mosi.
 
hii terminology inatumika isivyo. Hizo kazi zote ulizoziorodhesha hapo juu hakuna inayohitaji professionalism hata kidogo. Hata kwa lugha ya Kiswahili, siyo weredi, la hasha, bali ni weledi
Wenye matatizo ya kuchanganya kati ya L na R tupo wengi sana mimi ni mmoja wao.
 
Meck Sadick kuna kipindi alikuwa RC Lindi na Kaimu RC Dsm kwa wakati mmoja!
 
Nilidhani ungeeandika hivi;
1. alipokua RC sehemu Fulani alifanya ABC ambazo ni remarkable na alipokua sijui nani na wapi pia alifanya hivi na vile; hapa umetaja tu nafasi alizowahi kuzishika but hujasema kwenye hizo nafasi alifanya nini!?
 
Kosa la Mecky Sadiki ni kuruhusu wafanyakazi kubeba mabango ya kudai ongezeko la mshahara kwenye sherehe ya Mei Mosi.
 
Lakini anavaa Jeans na Cardet na anapendeza kama Kijana vile! Huyu RC ni mtu wa watu jamani ''down to earth'' mkikutana mtaani, hospital huwezi tambua ana wadhifa wa kitaifa wa juu. Kiongozi ambaye ni People Oriented hugusa wengi. Staafu kwa heshima na pumzika kwa amani na furaha mzee Sadick. Kila nikisikia Mabwe Pande namkumbuka RC Meck Sadick.''
Mkuu umemnena vyema sana asante kwa hilo...mabwe pande kuna nini naona kama kuna doa hapa au!
 
No. Katika ukabila namtetea, japo asili yake haikwepeki kutokana na rafudhi yake. Sijawahi kuona akitanguliza ukabila. Lakini pia si dhambi ukikutana na mtu wa kabila lako nje ya kwenu ukamfurahia maana anakua kama sehemu ya ukoo.

Kuna baadhi ya makabila hasa kama baadhi ya wasukuma asili yao huwa ni urafiki kwanza.

Wasukuma wengi wanapenda urafiki na huwa wanajivunia kufahamiana na watu ambao sio wasukuma wanapokua marafiki zao.

Sema wengi wao walitendwa sana kutokana na hilo kiasi kwamba siku hizi wameshituka.
Poa
 
Je unafahamu kama RC Meck Sadiki ni mtumishi na kiongozi mwadilifu katika Chama na Serikali?

[HASHTAG]#UtumishiCCM[/HASHTAG]...

A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba

B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1. Mtwara
2. Mara

[HASHTAG]#UtumishiSerikalini[/HASHTAG]...

A. Mkuu wa Wilaya;
1. Tanga
2. Mtwara

B. Mkuu wa Mkoa;
1. Lindi
2. Dar Es Salaam
3. Kilimanjaro

[HASHTAG]#Umri[/HASHTAG]...
Ndugu Meck Sadiki kwa sasa ana umri wa miaka 72 tika kuzaliwa kwake.

[HASHTAG]#Mapumziko[/HASHTAG]...
Sasa ni mda wa kwenda kupumuzika Nyumbani kabisa *Kijijini Nyehunge/Nyaprukano, Wilaya ya Sengerema*

[HASHTAG]#Ubashiri[/HASHTAG]...
Kuibukia kwenye siasa hasa nyakati hizi CCM ikiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama.
1. Nafasi ya Uenyekiti WAZAZI Taifa.
2. Nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza.

Kila la heri kwa RC Meck Sadiki kwani ameacha kazi katika utumishi wa umma kwa heshima na weredi mkubwa sana.

MUNGU AENDELEE KUMBARIKI NA KUMPA MAISHA MAREFU KATIKA AFYA NJEMA.

C&P

Amina![emoji120] nampenda , ni Binaadam Mnyenyekevu Sana
 
Hii ndo kasumba ya binadamu. Mazuri na mabaya ya wenzetu tunayaona wakishatoka kwenye nafasi zao. It is human nature.

Leo tunaambiwa Kikwete was the best President ever! Ingawa alitukanwa kama dhaifu, asiye na vision, anayeweka mbele uswahiba kuliko maslahi ya taifa nk.

Ngoja ngosha na yeye aondoke..utasikia hawa hawa wanaomtukana wakisema.... ndo Rais pekee alithubutu kufanya hiki au kile......kufukuza watumishi hewa, kuondoa watumishi fake nk.
Ni kweli ila hebu sema baya lake hata moja ili tujue kuwa tunasifia ujinga...
 
Je unafahamu kama RC Meck Sadiki ni mtumishi na kiongozi mwadilifu katika Chama na Serikali?

[HASHTAG]#UtumishiCCM[/HASHTAG]...

A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba

B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1. Mtwara
2. Mara

[HASHTAG]#UtumishiSerikalini[/HASHTAG]...

A. Mkuu wa Wilaya;
1. Tanga
2. Mtwara

B. Mkuu wa Mkoa;
1. Lindi
2. Dar Es Salaam
3. Kilimanjaro

[HASHTAG]#Umri[/HASHTAG]...
Ndugu Meck Sadiki kwa sasa ana umri wa miaka 72 tika kuzaliwa kwake.

[HASHTAG]#Mapumziko[/HASHTAG]...
Sasa ni mda wa kwenda kupumuzika Nyumbani kabisa *Kijijini Nyehunge/Nyaprukano, Wilaya ya Sengerema*

[HASHTAG]#Ubashiri[/HASHTAG]...
Kuibukia kwenye siasa hasa nyakati hizi CCM ikiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama.
1. Nafasi ya Uenyekiti WAZAZI Taifa.
2. Nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza.

Kila la heri kwa RC Meck Sadiki kwani ameacha kazi katika utumishi wa umma kwa heshima na weredi mkubwa sana.

MUNGU AENDELEE KUMBARIKI NA KUMPA MAISHA MAREFU KATIKA AFYA NJEMA.

C&P
Kumbe Msukuma? Ndo maana JPM alimbakiza...na kwa weupe wake mi nilijua Mtanga!
 
Back
Top Bottom