Usiyoyajua kuhusu Said Meck Sadiki

kuseka

Member
Aug 22, 2013
89
40
Je, unafahamu kama RC Meck Sadiki ni Mtumishi na kiongozi Mwadilifu katika Chama na Serikali?

Utumishi CCM
A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba

B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1. Mtwara
2. Mara

Utumishi Serikalini
A. Mkuu wa Wilaya;
1. Tanga
2. Mtwara

B. Mkuu wa Mkoa;
1. Lindi
2. Dar Es Salaam
3. Kilimanjaro

Umri
Ndugu Meck Sadiki kwa sasa ana umri wa miaka 72 tika kuzaliwa kwake.

Mapumziko
Sasa ni mda wa kwenda kupumuzika Nyumbani kabisa *Kijijini Nyehunge/Nyaprukano, Wilaya ya Sengerema*

Ubashiri
Kuibukia kwenye siasa hasa nyakati hizi CCM ikiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama.
1. Nafasi ya Uenyekiti WAZAZI Taifa.
2. Nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza.

Kila la heri kwa RC Meck Sadiki kwani ameacha kazi katika Utumishi wa Umma kwa heshima na weledi mkubwa sana.

MUNGU AENDELEE KUMBARIKI NA KUMPA MAISHA MAREFU KATIKA AFYA NJEMA.

C&P
 
Huyu Mzee alikuwa mtu mzuri sana. Kwa umri huo wacha apumzike
Lakini anavaa Jeans na Cardet na anapendeza kama Kijana vile! Huyu RC ni mtu wa watu jamani ''down to earth'' mkikutana mtaani, hospital huwezi tambua ana wadhifa wa kitaifa wa juu.

Kiongozi ambaye ni People Oriented hugusa wengi. Staafu kwa heshima na pumzika kwa amani na furaha mzee Sadick. Kila nikisikia Mabwe Pande namkumbuka RC Meck Sadick.''
 
Tuliambia hizo Nafasi sio za utumishinwa umma. Mwenye CV ya Meki atupe hapa kama vp
 
[HASHTAG]#FuturePost[/HASHTAG]
Mecky Sadick achaguliwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya [HASHTAG]#Kinana[/HASHTAG] kutokomea..
 
Lakini anavaa Jeans na Cardet na anapendeza kama Kijana vile! Huyu RC ni mtu wa watu jamani ''down to earth'' mkikutana mtaani, hospital huwezi tambua ana wadhifa wa kitaifa wa juu. Kiongozi ambaye ni People Oriented hugusa wengi. Staafu kwa heshima na pumzika kwa amani na furaha mzee Sadick. Kila nikisikia Mabwe Pande namkumbuka RC Meck Sadick.''

Ni mtu wa mazoezi pia.

Tulikuwa tunapishana naye barabarani wakati wa maandalizi ya Kilimanjaro Marathon.
 
Back
Top Bottom