Je unafahamu kama RC Meck Sadiki ni mtumishi na kiongozi mwadilifu katika Chama na Serikali?
[HASHTAG]#UtumishiCCM[/HASHTAG]...
A. Katibu Wa Chama Wilaya;
1. Liwale
2. Manyoni
3. Iramba
B. Katibu Wa Chama Mkoa;
1. Mtwara
2. Mara
[HASHTAG]#UtumishiSerikalini[/HASHTAG]...
A. Mkuu wa Wilaya;
1. Tanga
2. Mtwara
B. Mkuu wa Mkoa;
1. Lindi
2. Dar Es Salaam
3. Kilimanjaro
[HASHTAG]#Umri[/HASHTAG]...
Ndugu Meck Sadiki kwa sasa ana umri wa miaka 72 tika kuzaliwa kwake.
[HASHTAG]#Mapumziko[/HASHTAG]...
Sasa ni mda wa kwenda kupumuzika Nyumbani kabisa *Kijijini Nyehunge/Nyaprukano, Wilaya ya Sengerema*
[HASHTAG]#Ubashiri[/HASHTAG]...
Kuibukia kwenye siasa hasa nyakati hizi CCM ikiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama.
1. Nafasi ya Uenyekiti WAZAZI Taifa.
2. Nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza.
Kila la heri kwa RC Meck Sadiki kwani ameacha kazi katika utumishi wa umma kwa heshima na weredi mkubwa sana.
MUNGU AENDELEE KUMBARIKI NA KUMPA MAISHA MAREFU KATIKA AFYA NJEMA.
C&P
Alifanya Jitihada kuwahamishia wahanga wa Mafuriko Jangwani Na Msimbazi huko. Siku hizi pamekuwa jiji la TBA. Waliokimbia huko sasa wanapatafuta.Mkuu umemnena vyema sana asante kwa hilo...mabwe pande kuna nini naona kama kuna doa hapa au!
Kila weekend tupo nae hapa beach kidimbwi mwanza tukicheki ball pa1 nae.Lakini anavaa Jeans na Cardet na anapendeza kama Kijana vile! Huyu RC ni mtu wa watu jamani ''down to earth'' mkikutana mtaani, hospital huwezi tambua ana wadhifa wa kitaifa wa juu. Kiongozi ambaye ni People Oriented hugusa wengi. Staafu kwa heshima na pumzika kwa amani na furaha mzee Sadick. Kila nikisikia Mabwe Pande namkumbuka RC Meck Sadick.''
Kila weekend tupo nae hapa beach kidimbwi mwanza tukicheki ball pa1 nae.
Nilishtuka siku ya yupo pembeni yangu very humble.Huyo mzee smart sana
Nilishtuka siku ya yupo pembeni yangu very humble.
Zandani ndani inasemwa alimkataliaga JPM nafasi ya ukuu wa mkoa sabab ya tabia za JPMNi muadilifu, hana makuu wala lugha ya utata. Hata hivyo at 72 Ukuu wa Mkoa unaweza kuwa taxing, wacha apumzike.
Si Mmeshasema ni MwanaCCM, mbona unaandika tena kuwa ni Mwadilifu?Ni muadilifu, hana makuu wala lugha ya utata. Hata hivyo at 72 Ukuu wa Mkoa unaweza kuwa taxing, wacha apumzike.
Sasa mizania yako juu ya binadamu ikiwa na hitilafu tutakusaidiaje?Si Mmeshasema ni MwanaCCM, mbona unaandika tena kuwa ni Mwadilifu?