kibaya.wanatumia wale madogo hata huwezi kujua kama wauzaji wale ni nyoka.Njaa Mkuu! Jamaa wananjaa sana! Na Ni Miaka mingi sana wapo pale, hata Sasa Hivi tunazungumza hapa huenda kuna mwengine anahangaika kuomba hela kwenye tigopesa ili Jamaa wamuachie.
Hahaha mkuu kumbe na wewe unapajua kwetu....ila siku hizi wanapiga patrol kule wavuta bangi wamegeuza chimbo hasa kule "msende sema".....nakumbuka walishanidaka hao jamaa na mtoto wakataka kutupakazia kesi ya kunaniliuuuuuu......ila tamaa iliwaponza wakabaki kulaumiana tu wenyewe kwa wenyewe!! Toka siku hiyo nikaacha labda mara moja moja naendaga kule "bank aka beach tope".........I love kijichi kwa kweli vere vere cool place to live.......Matatizo mengine ni ya watu wenye hali fulani na economic status fulani za kuwa na magari, sisi wa TZ 11, hayo hayatukuti tena hizo patrol, zinafanywa kwenye fukwe waendazo wenye magari, sisi watu wa madogo kuporomoka kama kwetu Shimo la Udogo, fukwe zetu ni Mtoni Kijichi, huko hakuna patrol ya aina yoyote, mkienda beach na mwezio, kigiza kikianza tuu kuingia watoto wanarudi nyumbani, wakubwa wanabaki ufukweni hadi kujivinjari kwa raha zenu.
Ndio maana mitaa ya uswahilini sana hata guest hakuna!, guest za nini wakati viambaza tuu vinatosha?!.
Utajiri raha lakini pia ni shida na umasikini ni shida ila pia kuna raha zake!.
Pasco
bora tu wampe MANJI bichi yake ili kuepukana na haya mateso.Sasa kama beach yenyewe ni ya mateso hivyo ni bora tu ibinafsishwe
kesi ya Babu seya?! ndo zaoHahaha mkuu kumbe na wewe unapajua kwetu....ila siku hizi wanapiga patrol kule wavuta bangi wamegeuza chimbo hasa kule "msende sema".....nakumbuka walishanidaka hao jamaa na mtoto wakataka kutupakazia kesi ya kunaniliuuuuuu......ila tamaa iliwaponza wakabaki kulaumiana tu wenyewe kwa wenyewe!! Toka siku hiyo nikaacha labda mara moja moja naendaga kule "bank aka beach tope".........I love kijichi kwa kweli vere vere cool place to live.......
Ahahaaaaaa, hapo sasa sawa, maana huo ubundi wako bila kupiga vyombo si ingekua mateso sana. Mie napitiaga pande hizo siku za weekend kula mihogo na madafu mida ya mchana kisha najikataa.Ha ha ha h hAaaaa!!! Huwezi Kua popo ukawa unakunywa maji Na soda tu Mkuu! Utapata stress! Naonja onja kidogo, Ila Ni vile vikali vikali, sio bia, zimenishinda!!
Ha ha ha ha haaaa! Hebu pita jumatano kuanzia Saa tatu USIKU ukute jinsi walevi wanavyoimba kariokee pale, utacheka sana!Ahahaaaaaa, hapo sasa sawa, maana huo ubundi wako bila kupiga vyombo si ingekua mateso sana. Mie napitiaga pande hizo siku za weekend kula mihogo na madafu mida ya mchana kisha najikataa.
mkuu naona huelewi somo!.pale ni sehemu ya kupiga hela!.umewai ona polisi maeneo walipo panyaroad? polisi.wetu wanashughulika na michongo ya hela sio amani kwa raia.kama huamini mpeleke mshitakiwa polisi uone utakavyochenjiwaKwa maelezo yako kuna kila dalili kuwa Hapo COCO BEACH kuna uhalifu sana, kwanini polisi wawe wengi hivyo?
mkuu kwa Bongo pale ndio beach imayobeba na kuvutia raia kuliko zote.sema hapajawekezwa chochote.zamani nikiona coco beach kwenye magazeti ya sani na bongo nilikuwa najua bonge la beach. nilivyopaona mara ya kwanza nilishangaa sana. mlima hoho yeyote akifika coco kwa mara ya kwanza lazima awe disiapointedi.
wajinga wale wanajua mwanaume akijitutumua.kwenda beach lazima awe na nauli ya kurudi kuliko kulazwa polisi o-bayAhahahhaaahh umeikumbusha mbali sana coco sitapasahau hao maaskari wengine feki mwaka 2009 walitukamata nikiwa na mchuchu wangu wakaanza mkwara aisee tulitoa hela zote tulizokua nazo tukabaki na nauli tu mwisho tukagundua maaskari wale ndo zao wanakamataga wapenzi tu
askari wa kule wako kimawindo kutafuta couples wapige hela au upewe kesi ya kisingiziwa.Kuna yule jamaa anafarasi wake pale, Siku moja miaka Hiyo tulichelewa tulikuwa tunapiga picha kwenye yule faras wakaja askali wawili wametangulia wawili wapo nyuma.
Wale wambele wakatupiga biti tuu wakatuambia tumalizie tusepe. Wale waliokuwa nyuma waliofika wakamdaka kwenye farasi wakambananisha wakamchomoa hela nyingi ...na mikwara tele...
Ndio mwisho Wa kwenda koko...
mkuu una mtoto wa getikali mnaenda kigamboni/Bagamoyo? factors za usafiri kama foleni na pantoni huwezi kuzi control pale ni karibu na jina lake kubwa mnoo.dream ya kila mwanadasalaam kukaa pale japo siku moja kwa ambao sio wazoefu wa beach.Kwani lazima muende bichi ya coco mbona kuna bichi ya Kigamboni na bagamoyo