nitasema ukweli hata kama ukweli unauma...ahahahaaa
Kama nakuona vile! Umeachama mdomo waaa! Halafu hujui hata utakula nini leo wenzako wanaelea angani na chopa! Weekend kama kawa Dubaiii na nyumba ndogozo kupiga mashine, we unatokwa povu humu JF!
KWA KUZURURA NA HIZO CHOPA NA KUJILIMBIKIZIA POSHO?
poor you..
mimi ningekuwa wewe ningeomba uzi huu ufutwe! Angalia reply zote unazopata. Haziendani na matarajio yako! Nadhani umeandika ukisubiri wakukusapoti. Hakuna mtu mzima mwenye akili zake fiti mzalendo wa nchi hii tz (tananyika na zanzibar). Lakini wewe pole sana! Angalia yanayo jili kwasasa!
sio chama hicho ndugu yangu bali ni maharamia, majambazi na mafisadi