Hayo yote uliyotaja yawe kweli au si kweli Watanzania hayawaingii akilini,KITU WANANCHI WANACHOJUA NI NA WANA UHAKIKA KWA 100% NI KUWA CHADEMA HAKIJAWALETEA UMASKINI WATANZANIA,WANATAKA KUKITOA CHAMA KILICHOLETA UMASKINI KWA WA TZ!!!
nitasema ukweli hata kama ukweli unauma...ahahahaaa

wakati mwingine uwe unatumia akili kufikiri siyo mgongo,mgongo wako endelea kuutumia kubeba fikra makapi za wakubwa zako wa ccm.nani wa kuumia na huu ujinga ulioutuma,kajipange upya,kwasasa ni ngumu kama mwamba/jiwe kubadili fikra za watu kuhusu chadema kwa propaganda za kitoto kama hizi.walishajaribu wenzio wameshindwa yako wapi sasa!! Huwezi kumbadili fikra mtu anayeipenda chadema kwasababu mfu kama hizi.kwasasa watu hatuipendi ccm siyo kwasababu ya uwepo wa chadema ila ni kwasababu inaitwa ccm.usifikiri isipokuwepo chadema tutaipenda tena ccm,hayo ni mawazo shombo.
nivigumu sana kugonga link yangu kwenye post kama hii, ila imenibidi kwa kusudi moja tu!?
samahani, hivi kweli unafahamu ni kwanini umejiunga jf?
wewe ni nani hata uniulize hivyo?..tambua kuwa jf ni jukwaa huru na kila mtu amejiunga kwa mahaba na sababu zake binafsi so it is none of your business to ask me such a question,by the way niliandika kwa kujua kuwa watu kama wewe mtakuja tu kama ulivyokuja na bila shaka umeshapata tiba.
WanaJF
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu kuwa hawa vijana wa Lumumba hasa wanaochangia hapa JF. Ni kuwa ni ulevi au ni uwezo mdogo wa kufikiri.Hoja zao wote utafikiri CCM ni chama cha upinzani na CHADEMA ndio chama tawala. Hivi ni kuwa hawaelewi kuitajataja CHADEMA ni kuipa promo zaidi huku mitandaoni kuliko kuiharibia.
Mbinu zao za propaganda haziendani na wakati na sehemu husika, kwa mfano mtu anaandika chadema ni chama cha kaskazini, nicha kidini ooo sijui nani kamchukua mke wa nani. Hivi watu wenye akili wanazidi kuizarau CCM zaidi. Nyinyi nichma tawala andikeni hoja za kuonyesha mmewafanyia nini wananchi sio kutaukana tuu kutwa nzima. Hivi hawana ufahamu wa kuwa waliowengi humu mitandaoni wana elimu ya kiasi fulani huwezi kuwadanganya kijinga hivyo. Akili ya kujua kuwa kuitajataja CHADEMA ni kuipa promo na kuwafanya watu watafiti sana kuhusu hiyo CHADEMA.
Mbinu za propaganda za mwaka 47 ndio mnatumia leo, hii mbunu ya chama cha kikabila cha kidini mnao itumia huku mtandaaoni mnakosea hii kama ndio mwisho wa ubunifu wenu na mnaipenda basi mngeitumia huko vijijini vya remote area kusiko na mawasiliano ambapo mpaka leo hii wanasema Nyerere wa Tanzania ni JK, hao ndio unaweza kuwaambia kuwa CHADEMA ni cha kikabila mkuwapa nchi wataleta vita sio humu humu watu wanaona wenyewe.
Mfano mwingine watu humu mtandaoni wanaona Mwanza nyomi la watu mikutano ya M4C,Iringa nyomi, Kigoma nyomi halafu hapo hapo unakuja na mada CHADEMA chama cha kikanda au watu wachache wahudhuria mkautano wa CDM. Kweli vijana wa Lumumba bado mnadhani watanzania wote ni mabwege poleni.
Mkuu great sinker weka picha
Leo nimeona nilete vijimambo japo kwa uchache tu kuhusiana na hiki CHAMA CHA USHIRIKA CHA WATU WA KASKAZINI.
baadhi ya mambo hayo ambayo naamini wengi wenu ama hamyajui au mnayajua ila mnaumia ndani kwa ndani ni pamoja na;
1.USIHOJI MAAMUZI YA MWENYEKITI (MBOWE) NA HURUHUSHWI KUGOMBEA NAFASI YAKE.
2.HUTAKIWI KUHOJI MAPATO NA MATUMIZI YA CHAMA.
3.UWE TAYARI KUJITOA MHANGA KWA MASLAHI YA WACHACHE (NA HASA VIONGOZI WA JUU)
4.DEMOKRASIA YA CHAMA NI "CENTRALIZED"(TOPDOWN SYSTEM) i.e wafuasi hawana maamuzi ila ni kupokea tu kutoka juu.
5.NI CHAMA AMBACHO HAKINA MPANGO WA KUJENGA HATA OFISI WILAYANI ILA VIONGOZI HUFANYA UFISADI KWA KUANZISHA 'OPERATIONS' KAMA VILE 'OPERATION CHOPA' NA NYINGI NYINGINE ILI WAJILIPE POSHO ZA KUTOSHA.
6.MICHANGO YA CHAMA IWE AMA KWA MICHANGO MIKUBWA AU KWA HARAMBEE ZINAZOIBUKA GHAFLA KAMA UYOGA MIKUTANONI HULIWA NA WAJANJA WACHACHE.
SOURCE;SOMEBODY IN JF.
my take;CHANGIA KWA HOJA NA SI KUTOKWA NA POVU.
NAWASILISHA WAKUU.
Yale yale ...... Hebu jibu hoja za OPD maana hayo makelele yalikuwa ni mateke ya mwisho wakati masalia wanakufa!