Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
mama ubaya
Heeeee kumbe mama ubayaa kichwa kama boneti ya gariii hahhhhahhha
mama ubaya
Nishamalizana nae mbona, toka juzi nili kuita naona ulikuwa busy, nilimpa anachostahil
Waliofahamika kupitia mastaa nadhani
Umbea wa ommy umeupat wap binam
ushafeli tayari..! lols!Mbona sielewi
Swali la kizushi...huyo ni wew kwenye hiyo avatar..?
Wataishia kuwa Local celebs' kama wasaka kabumbu wa Bongo.
Uwoya enzi izo bhana, mtoto alikuwa mtamu balaa, siku izi kawa kama housegirl




daah warumiWarumi ktk tasnia ya Habari za kunyetisha ana uzoefu wa Kiwango cha Phd siyo wa kubeza.daah warumi
Kipendacho roho hula nyama mbichi, mkeo ulienae wewe kuna watu wanamuona dekio la choonidaah warumi