Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Hehehe nyie mmemtandikia mwenzenu jamvi kumbe yuko humu humu hahaha warumi na team yako ni noumerrrrrrr...raha ya umbea msemwaji asiwepo ila huu ni wa grade 1 ...atakuja na account nyingine kujibu mapigo mda si mrefu subirini tu

Tatizo la mbea huwa anaongea ukweli bila ruhusa.
 
Last edited by a moderator:
Badoooo...kile kifaa miaka elfu nane....akiwa housegal...Wenye nyumba wataacha nyumba zao......

Haya binamu kifaa chako hcho nimekultea, sema anajua kuvaa kama Kim kardashian.
 
Attachments

  • 1395784233837.jpg
    1395784233837.jpg
    38.8 KB · Views: 699
Haya binamu kifaa chako hcho nimekultea, sema anajua kuvaa kama Kim kardashian.

Na nguo hazimtupi..Mashaalah.....ninachompendea huyu dada ni kuwa hafichi makucha yake.....sisemi napendezwa na tabia zake...La hasha!ila napenda mtu ambaye hatumii nguvu nyingi 'kujitengeneza'....I like Wema lakini she's too dramatic and fake....Huyu ni 'black&White'
 
Kwa kuwa mzazi wake wa kiume siyo raia, namshauri aukane uhabesh au asijihusishe na siasa hadi kifo
 
Ila hajamfikiaa fulaniii

Binamu Leo nimekulaje kichambo, kuna mjinga mmoja kaja kuchafua hali ya hewa kwenye himaya yangu, nimempa anachostahili naona hajarud kama sio ban, halaf nahis atakuwa msanii yule maana povu limemtoka hatari, inabid safar hii nikakate health insurance.
 
Ha ha ujumbe umefika
 
Huyo co natural kajikoboa zaman alikua mweuc mwangalien kwenye igizo la ITV Mweusi asijishaue hapa

Yaah nakumbuka kwenye fake smile alikuwa tofauti sana na sasa....Anyways,ni maisha yake....ila amekuwa mwekundu sana...hizi cream wawe wanapaka kwa vipimo jamaniii......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom