Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Warumi umesahau kimoja...alikuwa na rangi ya maji ya kunde enzi za Kaole but now amekuwa mweupee pee kama Mwarabu
 
Vipi maisha yako ya ndoa?
“ Niliwahi kuishi na mume wangu wa ndoa,
tukafanikiwa kupata mtoto mmoja , lakini
baadaye ilibidi nidai talaka. Niliishi kwenye
ndoa ya manyanyaso sana . Mume wangu
alikuwa akinisaliti waziwazi kiasi kwamba
alifikia hatua akawa anatoka na marafiki zangu
wa karibu.
“ Nilishindwa kuvumilia , nikaomba talaka.
Nashukuru tuliachana salama . Kwa sasa
mwanetu anakaa ukweni (kwa wazazi wa
mume ) na mimi naendelea na maisha yangu .
Baada ya kutengana naye nilikutana na
mwanaume mwingine ambaye naye nilizaa
naye mtoto mwingine . ”
 
Haya ndio maceleb. wetu tayari ndoa,kuachika,mtoto mwingine na bado anatafuta ndoa nyingine
 

Attachments

  • 1409910653231.jpg
    1409910653231.jpg
    37.3 KB · Views: 296
  • 1409910682979.jpg
    1409910682979.jpg
    29.6 KB · Views: 237

Similar Discussions

Back
Top Bottom