Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Mkuu....
Tuliwahi kumiliki ndege kubwa na za kisasa kuliko hiyo Dash 7/8.
Hapa lakujiuliza ni, je zipo wapi zile ndege kubwa tena nzuri na zakisasa?
Hata Mimi ndo naishangaa ila si haba na panga boi letu tena rais ataenda kuizindua. Hivi walioziuza za mwanzo walichukuliwa hatua gani??
 
Mleta Mada yote uliyo yaleta mi nayajua

Sa sijajua nin mana ya kusema Usiyoyafaham..!!

ok pouwa buana waiter zungusha tena [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Asante kwa maelezo mazuri nilikua sifahamu nilivosikia mapanga boi na kupitia comments tofauti nikajua ni ndege za karne zilizopita.
 
kila nikifika kwenye hii topic moyo unaniuma sana. tafadhali naomba tuishie hapahapa hii discussion.
 
Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.
Alibadirishwa kipindi cha Mataka,na uliza aliyebuni huyo twiga mpya alikula shilingi ngapi?Utazimia
Hahaaaaaaa aiseee hivi atabunije twiga wakati anajulikana au ndo ujanja ujanja tu
 
Hivi tujiulize ni waTZ wangapi wanaelewa maana ya hizi ndege kuwapo angani? Mimi ni mtumiaji wa ndege ndiyo lakini naona haisaidii kitu kuliko kama tungeonglelea dawa za kinga zilizokeosekana kwenye clinics zetu na tunaona madege yanakuja tu. Mimi sawa nitalipa thousand of dollars kwenda nitakako je. binamu yangu atapataje kinga ya polio, suria na nyingine kama serikali nalipa marubani wa ndege hizo kwanza?
 
Hahaaaaaaa aiseee hivi atabunije twiga wakati anajulikana au ndo ujanja ujanja tu
Watu watakula wapi Madam?Unashangaa hilo la twiga?
Watu walikuwa wanashonesha sare za Airhostess Singapore na Malaysia.Na mtu wa kuzisubilia anakaa huko miezi3 mpaka zimalize kushoneshwa!Ni mwendo wa ma-perdiem na nights za kujiachia
 
Kila kitu kina umuhimu wake katika kujadili mustakabali wa nchi........Kwa kujifunza ya Fly Emirates tunaona wapo tulipokosea na nini tufanye...
 
Wasomi wengi ndio wajinga yaani inasikitisha tunaanza upya na tunaonekana kama underdog kabisa kwenye tasnia ya anga
 
Those days...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…